Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhsanteHuyu atakuchosha tu, achana nae mkuu anataka ushauri alafu anabisha si angeikubali tu iyo mimba asubiri DNA ya kisayansi mtoto akizaliwa ila mimi na experience niliyonayo juu ya kuzaa sijawahi pitia hiyo hali ila nnachofahamu mwanamke kutapika baada ya tendo yaweza kuwa kabla hajarushwa rushwa bibie alishiba sana (unavyojua ukishiba sana ukapanda gari masafa marefu kwenye bus ukawa unarushwa rushwa) unaweza jikuta unaishia kutapika, au bibie ana kinyaa sperm zimemchefua akapata kichefuchefu na kutapika, acha abambikwe kulea 9 months si kitu mchezo mchezo
Sawa mkuu.Elimu yangu ni msingi
Nimekupata.Huyu atakuchosha tu, achana nae mkuu anataka ushauri alafu anabisha si angeikubali tu iyo mimba asubiri DNA ya kisayansi mtoto akizaliwa ila mimi na experience niliyonayo juu ya kuzaa sijawahi pitia hiyo hali ila nnachofahamu mwanamke kutapika baada ya tendo yaweza kuwa kabla hajarushwa rushwa bibie alishiba sana (unavyojua ukishiba sana ukapanda gari masafa marefu kwenye bus ukawa unarushwa rushwa) unaweza jikuta unaishia kutapika, au bibie ana kinyaa sperm zimemchefua akapata kichefuchefu na kutapika, acha abambikwe kulea 9 months si kitu mchezo mchezo