Mimba ya dakika 30

yaani huyo manzi ni muongo total hakunaga kkitu kama hicho miamba inaanza dalili baada ya week mojaa. huyo manzi na yeye awe na huruma
 
Ahsante
 
Nimekupata.
Nishampuuza siku nyingi. Anachosha
 
Kwani ndiyo Mara ya kwanza kusex?may be alikua nayo tangu zamani ya huyo huyo jamaaa
 
binti alisema Ana mimba au alisema Ana mimba ya huyo jamaa wako?
maana hizi ni Sentensi mbili tofauti
 
Kwa kawaida kupatwa kwa yai la kike hutokea eneo la mirija ya falopio, na yai la kiume huchukua kati ya dk 30 mpaka 45 kufika eneo hilo. Kama mayai yakikutana 'na' yakaungana, huchukua takribani masaa 12 kutengeneza kijusi (zygote). Inakadiriwa kuwa inachukua siku 6 kwa kijusi (blastocyst) kuanza kujipandikiza kwene ukuta wa mji wa mimba (endometrium) na siku ya saba hadi ya kumi ndo upandikizaji huwa wa mafanikio.
Homoni ambayo hupimwa kwene damu au mkojo (chorionic gonadotropin 'hCG') huanza kutolewa na mwili siku ya sita, 6. Vipimo vya mimba vinavyotumika majumbani huwa na uwezo mkubwa (high sensitivity) ya kutambua uwepo wa mimba wiki inayofuata baada ya kuikosa period.
Katika hali ya kawaida, si rahisi kutambua au 'kudetect' mimba mara tu baada ya kujamiiana
Nionavyo mimi
*nimeshindwa kuyajua majina ya kiswahili ya blastosyt, zugote. Ndio maana nimetumia neno kijusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…