Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Wajawazito kwa sasa na wote wamechokaMwisho wa siku ikawaje walijifungua kabla ya miez9 au walitimiza miez9...au ndo wanamimba Sasa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajawazito kwa sasa na wote wamechokaMwisho wa siku ikawaje walijifungua kabla ya miez9 au walitimiza miez9...au ndo wanamimba Sasa hivi
Unce tena,kwamba pasipo shaka wewe unajitambulisha kwake kama kaka wa mke wake usiyeijua hata id yake jf?Hongera mkuu, naona hatimaye unaelekea kumpakata uncle
Anza maandalizi ya vifaa vya kujifungulia kwa Mama K
Habar wakuu poleni namjukum mke wangu anamimba ya miezi 8 na siku17 ...mjamzito anadalili zinazofannana na uchungu kuuma nyonga maumivu yanakuja nakuachia...je kunauwezekano wakujifungua na mtoto akawa hai kwa umri wa mimba hii ya miez8 na siku17..maana mimba miezi 9 kamili Bado haijakamilika