Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Iko hivi, hapa zipo 4 apartments, yangu ipo Mwanzo kabisa. Huyu mke wa mtu alikuwa analeta mazoea na ikaribu usio na ulazima. Full kunichekea kila akiniona.
Anaweza kurudi na mumewe anaweza kuniita hata usiku anasema amenimiss na jamaa anasikia kabisa.
Fast forward jamaa kampiga mimba, kimbembe sasa demu anaweka kama mimba yake imenipenda mimi. Juzi kaamka saa 8 usiku kaja kunigongea akiwa na mumewe anataka kunihug ndio apate usingizi.
Asubuhi yake kaniamsha kasimama dirishani anaweka mikono kabisa aone ndani.
Sasa hivi imekuwa too much anaweza kutoka ndani akamwacha mumewe anakuja kukaa kwangu.
Kiukweli naogopa jamaa anawaza nini na huyu dada sijawahi mtongoza wala kumtamani coz sinaga moyo ya kula demu naejua analiwa na mtu fulani.
Msaada wadau nafikiria kuhama lakini kodi nimelipa september inaisha september 2025.