Mimba ya mwanamke imetokea kunipenda mimi lakini naishi kwa wasiwasi. Naombeni ushauri wenu

Ilimradi tu mawazo mabaya yasikuingie na tamaa, imeshawahi nitokea hiyo, bora wewe anakupa hi, mimi alikuwa hataki kula na mumewe mpaka ale na mimi, kipindi hicho niko bachela anaibuka geto na mboga nipike tule, nikimwambia nimefulia atapigiwa simu mume wake alete hela, nilikuwa muoga namkwepa muda mwingine, mwisho wa siku alijifungua mtoto wa kike, nikaona na ile hali ya mazoea imekata nikamshukuru Mungu
 
Kwani we huna mke..au dem
Tafta dem yoyote umkodi hata wikii...atapunguza shobo lasvo mwamba atakutindua anasubir ujae
Mke ninae alipangiwa kazi mkoa mwingine. Siwezi kodi mdada wengine wanatafuta ndoa unamleta anakuwangia unaoa tena.
 
Kwa akili hizi....
Minaona bora hiki chama kiendelee kutawala tu hadi akili itakapo rejea kwenye kizazi kinacho fuata.
 
Mke ninae alipangiwa kazi mkoa mwingine. Siwezi kodi mdada wengine wanatafuta ndoa unamleta anakuwangia unaoa tena.
Duh kaz unayo..hama week moja ndo urudi labda mimba itakusahau..lasvo mmewe atakupakia mkongo
 
jikinge tu kumtongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…