Mimba ya mwanamke madhara kwa Mume WHY?

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
tumezoea kuona mwanamke akiwa na mimba changa wakati mwingine huwa na tabia ya kula vitu vya ajabu kama udongo,ndimu,nguo n.k lakin 'nimejulishwa' pia kuna wakati mwanamke akiwa na mimba basi mwanaume ndie anayekula udongo,ndimu,kichefuchef n.k WHY?
 
hii mpya, wataalam njooni basi mtujulishe kulikoni.
 
staki kabisa kukumbuka hii kitu, ilinitesa sana mai waif wangu alipokuwa mjamzito.... ni full matatizo, kuumwa kusikoisha...uchovu , hasira, usingizi, na mengine mengi
Hali ilikata pale tu nilipoambiwa ....mkeo amejifungua salama mtoto wa kike mwenye afya njema.....
 
so mahesabu this thing is real? ha? mbona hukufuatilia kulikoni?
 
duh pole, kumbe ni kweli? sasa yeye wife anakuwaje nae anasumbuliwa au anakuwa kawaida tu?
 
kwa expirience yangu, wangu alikuwa mzima kabisa and strong...... nakumbuka mpaka last day nilienda kumfata aache shughuli anayoifanya saa nne na nusu usiku........ alfajiri akajifungua
 

Hivi dawa yake ni nini??? Mimi nateseka utafkiri mi ndo nimebeba zygote sina hamu na baadhi ya vyakula, morning sickness na mara kibao nashikwa na kichefuchefu.. Sasa juzi limeanza lingine lakujaa mate mdomoni nikiongea yani nakereka hadi basi hadi kwenda kazini sometime najistukia
 
duh pole, kweli hii kali bila ushahidi wa wadau hapa jf ningebisha kuwa hakuna kitu kama hiki.
 

Hata natafuta jibu la kitaalamu sijapata.... Wife yeye yuko shwari misele tu anapiga wakati nateseka hata Maskani siendi tena.. Ingawa wengine wananiambia ni kwa sababu mtoto anayekuja ni opposite sex na mimi, wengine wanaongelea kiimani wanasema anayezaliwa ana direct link na mimi refer theory ya reincarnation... Yaani roho ya mtu ambaye alikuwa karibu na mimi afu akafariki anarudi tena katika maisha yangu. Hopefully my lovely mother atazaliwa tena katika familia yangu
 
huu uzi sijabahatisha nimeona kabisa mwanaume mmoja jamaa tulipanga nae nyumba yaan mkewe alipokuwa mjamzito jamaa alikuwa akisikia harufu ya samaki yaan full kutapika! usiku wa manane jamaa anapanda kwenye muembe kutafuta maembe mabichi! sasa wadau mnasemaje! kuna wazee humu na madaktar hebu tujuzeni
 
Honestly hata mimi sijawai kuiskia hii,nilizoea kuona mwanamke anampenda ama kumchukia mume,n.k lakini si kwa mume kula mpaka udongo.

Udongo hiyo ni issue ya kukosa madini +hizo hisia.

Ila nimewahi sikia roommates wangu wakiilia na kuguna sana usiku kesho yake unasikia mzee katoka....kuna mshkaji alikuwa kaiumwa hoi homa zinapanda kushuka..jamaa hawaoni kitu.Kuja fuatilia kumbe demu wake alikuwa akifanya majaribio kibao ya kutoa mimba kienyeji huku inakataa hadi wakafanikiwa kimalizia kiumbe.At that time baba na mama walikuwa hoi hospital(mama alikuwa uchochoroni baba hospital alipolekwa ghafla ).Watu mitaani walidhani kasepa ili kukimbia mimba ambayo wala hakuwa akijua..wengine wakajua kapotea tuu.

Baada ya mama kufanya majaribio ya kijinga kwa kiasi cha yeye kuwa hoi hadi kitoto kukubali kufa ndipo jamaa akaamka.Alipokuja ambiwa kulikuwa na scenario nyingine aliumia sana kuwa alikuwa na kitoto na kimeuwawa.
 
Hii inaitwa biological bluetooth. Acha kabisa inanitesa sana muda huu
 
mi ishanitokea nilimpa mimba dem skonga kitambo it was 2003 when i was form 3 sasa nikaanxa kichef chef bila mpango kutapika homa ovyo ovyo, cha ajabu dem nilimkazia mbaya sikukubali mimba na shit nilimjibu coz nilikuwa dogo sana halafu ndo ilikuwa siku ya kwanza ku do. sema dada aligundua akamtel bi maza kuwa mwanao kasababisha skull na mhuni nikakataa vile vile, sema wazee walielewana, dogo alipotoka ni kopy yangu mpaka vidole, wale wazee wa demu wakanikazia kunipa mtoto hadi 2016.daah sitaisahau ile mimba ya bahat mbaya
 

Wangu kula hali kabisaa alafu anapenda sana kulala na hasira ndio kabisaaa hata kuniona hataki kabisaa wala kuniongelesha hataki mtihani aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…