Unaomba ushauri lakini unaigopa kusema mke wangu, unajaficha ficha eti huyu mama loh.Wakuu habari za jioni, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mama ni mjamzito kwa sasa ana watoto watatu lakini ametoka kujifungua mwaka umepita mtoto wa mwisho na uzao wote ni kisu. Sasa swali langu uyu mama alitoka kujifungua mwaka jana na sasa ni mwaka tu umepita sasa sijui niseme bahati mbaya amepata mimba nyingine.
Swali langu kwenu vipi kama akihamua kujifungua je kuna madhara ya kiafya atapata ambayo yatagharimu uhai wake? Au atoe tu huu ujauzito?
Naomba ushauri wenu najua hapa kuna madaktari mbalimbali wenge kujua mambo ya afya.
Karibuni kwa mchango.
ππππ€£π€£πππUnaomba ushauri lakini unaigopa kusema mke wangu, unajaficha ficha eti huyu mama loh.
Hakuna madharaWakuu habari za jioni, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mama ni mjamzito kwa sasa ana watoto watatu lakini ametoka kujifungua mwaka umepita mtoto wa mwisho na uzao wote ni kisu. Sasa swali langu uyu mama alitoka kujifungua mwaka jana na sasa ni mwaka tu umepita sasa sijui niseme bahati mbaya amepata mimba nyingine.
Swali langu kwenu vipi kama akihamua kujifungua je kuna madhara ya kiafya atapata ambayo yatagharimu uhai wake? Au atoe tu huu ujauzito?
Naomba ushauri wenu najua hapa kuna madaktari mbalimbali wenge kujua mambo ya afya.
Karibuni kwa mchango.
Mungu mmoja atajifungua Salama na hatopata madhara kikubwa aamini kua Mungu anaweza yote asali kwa Imani yake na atashinda na kujifungua Salama bila shidaSwali langu kwenu vipi kama akihamua kujifungua je kuna madhara ya kiafya atapata ambayo yatagharimu uhai wake? Au atoe tu huu ujauzito?
samahani na mi naomba kuuliza. je kama nilijifungua uzao wa kwanza op kwa ajili ya complication flani je ni lazima uzao unofuata nimpate Dr yule yule anihudumie.Hakuna madhara yoyote chief muhimu awe karibu na daktari wake yuleyule anayemfanyia mara zote inakua vizuri zaidi.
Siyo lazima lakini inakuwa vizuri mimi mke wangu alipata scenario kama yako. Mimba ya kwanza hakuwa na shida ila mtoto hakugeuka wakati wa kujifungua ikabidi afanyawe upasuaji. Sasa alipopata mimba ya pili akaenda kwa daktari mwingine kwa vile alikuwa mkoa mwingine. Daktari akamwambia hana shida ila angekuwa yeye ndiye amemfanyia upasuaji wa kwanza angemwacha ajifungue kawaida. Ila kwa vile siyo yeye hawezi kushauri kwa kuwa hajui yule aliyemfanyia alimshona kwa namna gani. Kwa sababu kama hakumshona vizuri kuna risk ya mshono kuachia wakati wa kusukuma mtoto na hiyo inakuwa risk kwa mama na mtoto. Hivyo dokta akatuacha tuamue kama ajifunge kawaida au kwa upasuaji. Sisi baada ya kufanya tathmini tukachagua upasuaji. Na mimba mbili zilizofuata tulienda kwa daktari yuleyule yuko mhimbili na hatujawahi kupata changamoto yoyote. Ahsantesam
samahani na mi naomba kuuliza. je kama nilijifungua uzao wa kwanza op kwa ajili ya complication flani je ni lazima uzao unofuata nimpate Dr yule yule anihudumie.
Mimba zingine alipitisha mda gani?Siyo lazima lakini inakuwa vizuri mimi mke wangu alipata scenario kama yako. Mimba ya kwanza hakuwa na shida ila mtoto hakugeuka wakati wa kujifungua ikabidi afanyawe upasuaji. Sasa alipopata mimba ya pili akaenda kwa daktari mwingine kwa vile alikuwa mkoa mwingine. Daktari akamwambia hana shida ila angekuwa yeye ndiye amemfanyia upasuaji wa kwanza angemwacha ajifungue kawaida. Ila kwa vile siyo yeye hawezi kushauri kwa kuwa hajui yule aliyemfanyia alimshona kwa namna gani. Kwa sababu kama hakumshona vizuri kuna risk ya mshono kuachia wakati wa kusukuma mtoto na hiyo inakuwa risk kwa mama na mtoto. Hivyo dokta akatuacha tuamue kama ajifunge kawaida au kwa upasuaji. Sisi baada ya kufanya tathmini tukachagua upasuaji. Na mimba mbili zilizofuata tulienda kwa daktari yuleyule yuko mhimbili na hatujawahi kupata changamoto yoyote. Ahsante
Sawaa mkuu ilo litafanyiwa kazi kwa asilimia mia kabisa, ubarikiwe sana kwa msaada wa mawazo yakoMuhimu apate uangalizi makini wakati wa ujauzito, at least twice per month ahudhurie clinic, then ataweza kujifungua salama kabisa. Muhm mkubali gharama za uangalizi
Ninamuombea ajifungue Salama bila shida yoyote Ila na yeye ajiombee dua njema ya kujifungua SalamaMkuu nashukuru sana kwa ushauri na kunitia moyo ππΎππΎππΎ