Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Nimekuuliza hizo Post delivery zinatolewa RCH ipi hapa bongo?Umeona sasa ulivyo fala.
Kama mama alishagundulika ni seropositive anapima tena maambukizi ili iweje?
Kama hana lazima apimwe mara hizo zote tano (3 post delivery) kipindi chote cha breastfeeding ambapo kimakadirio ni mwaka na nusu mpaka miaka miwili ,na huo ndio muongozo na ukipita RCH clinics zote utaratibu ndio huo.
Medical professionals huwa hawajibu hivyo mkuu jitahidi uwe professional hata kdg unajiaibisha mkuu