Mimba ya nne kujifungua kwa njia ya kisu, nini madhara au athari kwa mama?

Mwanamke akijifungua kwa op wanapewa semina ya mda gani wabebe tena ujauzito.. kulingana na daktari anakushauri miaka mi 3...

Na ndugu yangu alisha wah kupata case kama hii na siyo mmoja dakt yoyote muulize...
Haya ndo ashapata sasa ww unamshauri nn maana hata kama sio c/s unashauriwa miaka zaidi ya miwili kama c/s vile vile
 
Duh
We jamaa buana 😂
Juzi nilikutana na kesi ya mwanamke mmoja amebeba mimba nyingine miezi 6 baada ya upasuaji na hakuna complication yoyote aliyopata
Mimba ipo vzur tu, yule mtoto mwingine anaendelea vzur tu
Sema ndo hvyo, close monitoring ya Daktari ndo inahitajika zaidi
Lakn huwez kufanya conclusion kwa scenario moja tu
 
We jamaa unatumia busara kwenye afya na reference zipo au nyie ndo madaktar wa google
Acha ubishi dogo mwanamke anaanza booking mimba ikifika G.A ya 12- 16 ambayo sawa na miezi mitatu mpaka minne na ndipo uchunguzi wa awali unapofanyika.

Na itabidi afanye mahudhurio angalau manne .

H.I.V atapima mara tano , mara mbili akiwa antenatal na mara tatu post natal .Antenatal kwenye miezi mitatu ya mwanzo (12 weeks na atapima tena kwenye G.A ya 32 ambayo sawa na miezi nane) kisha atapima baada ya miezi mitatu baada ya kujifungua, miezi sita na mwaka mmoja na nusu baada ya kujifungua.
 
Vip akianza antenatal na GA ya wiki sita atafukuzwa?
 
Na
Acha ubishi dogo mwanamke anaanza booking mimba ikifika G.A ya 12- 16 ambayo sawa na miezi mitatu mpaka minne na ndipo uchunguzi wa awali unapofanyika.

Na itabidi afanye mahudhurio angalau manne .

H.I.V atapima mara tano , mara mbili akiwa antenatal na mara tatu post natal .Antenatal kwenye miezi mitatu ya mwanzo (12 weeks na atapima tena kwenye G.A ya 32 ambayo sawa na miezi nane) kisha atapima baada ya miezi mitatu baada ya kujifungua, miezi sita na mwaka mmoja na nusu baada ya kujifungua.
Na kwa nn apime miezi mitatu baada ya kujifungua unakuwa unataka kumlinda mtoa huduma, mama au mtoto
 
Mwanamke akijifungua kwa op wanapewa semina ya mda gani wabebe tena ujauzito.. kulingana na daktari anakushauri miaka mi 3...

Na ndugu yangu alisha wah kupata case kama hii na siyo mmoja dakt yoyote muulize...
Na wanapewa ushauri huo kwa sababu kadhaa kama vile kuweka sawa uwiano wa hormones kwa sababu kipindi cha ujauzito kuna physiological changes zinatokea kwa mama mjamzito kama vile uzalishwaji wa hormones sanasana estrogen kwa ajili ya kutengeneza endometrium layer ambayo placenta inaenda kujishkiza .

Pia umuhimu mwingine ni muscle regeneration .

Na pia kumpa mtoto muda mwingi wa kunyonya ili akue vizuri.
 
Na pia kumpa mtoto muda mwingi wa kunyonya ili akue vizuri

Na wanapewa ushauri huo kwa sababu kadhaa kama vile kuweka sawa uwiano wa hormones kwa sababu kipindi cha ujauzito kuna physiological changes zinatokea kwa mama mjamzito kama vile uzalishwaji wa hormones sanasana estrogen kwa ajili ya kutengeneza endometrium layer ambayo placenta inaenda kujishkiza .

Pia umuhimu mwingine ni muscle regeneration .

Na pia kumpa mtoto muda mwingi wa kunyonya ili akue vizuri.
Naona mmeanza kupambanisha shule ambazo ziko incongruent na mada 🙌🙌😂😂
 
Na

Na kwa nn apime miezi mitatu baada ya kujifungua unakuwa unataka kumlinda mtoa huduma, mama au mtoto
Mtoto ana risk ya kupata maambukizi kipindi yupo tumboni mwa mama yake, kipindi anazaliwa (during delivery) or during breastfeeding(kipindi cha kunyonya) .

Mtoto aliyezaliwa na mama anayeishi na virusi vya ukimwi na aligundulika mapema ana ukimwi na alikuwa anatumia anteretrovial therapy (ART) vizuri mtoto atakayezaliwa huwa anapewa jina la exposed child, kuna mtoto anazaliwa na mama aliyegundulika ana maambukizi ya virusi vya ukimwi wiki nne kabla hajajifungua au kipindi cha kujifungua au alikuwa hatumiu dawa vizuri licha ya kwamba alikuwa anaishi na vvu ,mtoto atakayezaliwa ataiywa High risk child.

Management za hawa watoto wawili zinatofautiana.

Pia kuna ambao wanapata maambukizi kipindi wananyonyesha.
 
Ni zahanat au kituo gan cha afya hapa bongo wanampima mama HIV miezi mitatu baada ya kujifungua au ww mke wako alipimwa had kipind gan
 
Kama mpaka hapa umeshindwa kuelewa sina la ziada la kukuelewesha.

Huenda kichwa chako kimejaa kamasi

Kama mpaka hapa umeshindwa kuelewa sina la ziada la kukuelewesha.

Huenda kichwa chako kimejaa kamasi.
Nadhani ungejibu swali ingependeza zaid acha kuongelea Mambo ya tiba kutoka chat gpt mzee hapa hatuongelei nadharia hii ni real practice mzee
 
Kwann ayo maswali usimuulize uyo mama anajiskia vp baada ya operation 3.

lakin pia acha uongo na maisha ya watu sio mke wako unataka kujua ya nn na ili iweje huna kazi ya kufanya

Na mwisho kwan huna daktari unaemjua uko mtaani kwako ukamuhoji na kupata majibu sahihi
 
Back
Top Bottom