Mtoto ana risk ya kupata maambukizi kipindi yupo tumboni mwa mama yake, kipindi anazaliwa (during delivery) or during breastfeeding(kipindi cha kunyonya) .
Mtoto aliyezaliwa na mama anayeishi na virusi vya ukimwi na aligundulika mapema ana ukimwi na alikuwa anatumia anteretrovial therapy (ART) vizuri mtoto atakayezaliwa huwa anapewa jina la exposed child, kuna mtoto anazaliwa na mama aliyegundulika ana maambukizi ya virusi vya ukimwi wiki nne kabla hajajifungua au kipindi cha kujifungua au alikuwa hatumiu dawa vizuri licha ya kwamba alikuwa anaishi na vvu ,mtoto atakayezaliwa ataiywa High risk child.
Management za hawa watoto wawili zinatofautiana.
Pia kuna ambao wanapata maambukizi kipindi wananyonyesha.