Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaya naona kaampeni za mgonjwa zimevamiwa kila mtu Ana ngo na magonjwa
Nw NAJA NA KAMPENI YA KUTOKOMEZA KUTUNZA WATOTO wa watu kwenye ndoa
Haaahaaa dah nasikia haja kubwa
chai jaba alishawai kukiri kua kuna watu walikua wanamwambia wema ni malaya aachane naye but yeye alijibu kua wamuache hata kama na umalaya wake yee kashampenda
sasa wewe poteza mda tu
wakati mwenzako mahaba nisulubu kama kama spain kwa uholanzi
Kumbe ana mimba.........nashukuru kwa taarifa
wema amekanusha....
wema amekanusha....
Wazushi midomo zip zip. Wema amekanusha.
Who is wema sepetu btw? Kapata mimba beyonce,amba rose,alicia keys,monica arnold etc ndio iwe ajabu kwa ngumbalu? Mwanamke yake mimba ingekuwa kapata mimba domond(mwanamme) ndio ingekuwa ajabu.
Si kwa ubaya, ni katika kumsaidia Diamond asiingie katika chama cha kutunza watoto wasio wao kwenye ndoa (CCWN). Naamini kama zoezi litafanyika kupima DNA ya mwanao unaweza poteza ndoa yako na kubaki bachela milele, si mbaya kuulizana hili kwa wale wanaozaa kabala ya ndoa.
Naamini na nawatakia maisha mema mapya aijalishi mtoto wa nani anakuja tumeumbwa kulea, wish you the best family, best baby boy
Kauli ya Wema kwenye hili