Mimba ya Wema Sepetu ni ya Diamond?

Mimba ipo kwa Wema

Maswali unakuja kutuuliza sisi
 
Mwaya naona kaampeni za mgonjwa zimevamiwa kila mtu Ana ngo na magonjwa


Nw NAJA NA KAMPENI YA KUTOKOMEZA KUTUNZA WATOTO wa watu kwenye ndoa

Mwaya? Wewe ni sho.ga? Post zako za kimbea halafu unaandika kike kike sana.badilika au badili hiyo id ya mnyamwezi!
 
sepetunga kule insta anasema hana mimba sa we Pdidy ungatuambia hizo habari umezipata wapi
 
Last edited by a moderator:
chai jaba alishawai kukiri kua kuna watu walikua wanamwambia wema ni malaya aachane naye but yeye alijibu kua wamuache hata kama na umalaya wake yee kashampenda

sasa wewe poteza mda tu
wakati mwenzako mahaba nisulubu kama kama spain kwa uholanzi

Kipindi kile walipoachana alishawahi kusema kuna siki alimkuta Hotelini yuko u-c-h-i na Lijamaa
 
Wazushi midomo zip zip. Wema amekanusha.
 
Ila Wema ameshakanusha hizi habari

 

Attachments

  • Screenshot_2014-06-17-10-03-12.png
    89.7 KB · Views: 2,682
Who is wema sepetu btw? Kapata mimba beyonce,amba rose,alicia keys,monica arnold etc ndio iwe ajabu kwa ngumbalu? Mwanamke yake mimba ingekuwa kapata mimba domond(mwanamme) ndio ingekuwa ajabu.

Huyo pdidy hizi habari kapata wapi istoshe mimba c bigdeal mpka atangaze,kma vile hajiamini au mfuko umetoboka mbegu hazioti nini anywe mbolea y minjingu atapata mimba
 

Hiyo picha kwenye Instagram mbona sio yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…