Kutoa mimba hakuna tofauti na ku-lulu
jamani muogopeni Mungu nyie wanadamu, ni kweli wote tumetenda dhambi na kupungukiwa utukufu wa Mungu, lakini si dhambi za mauti kama hiyo ya kuua,
fikiria mama yako angekutoa, hivi kweli ungekuwepo?
au mama yake na huyo demu angemtoa kama anavyotaka kufanya, wakati huu angepata wapi demu wa kuburudika naye?! amaa kweli dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.
Lakini kwa upande mwingine afikirie madhara ya kutoa mimba, huwa ni makubwa kuliko kubaki nayo na kuzaa. kwa mfano, anaweza asizae tena, hivyo atajilaumu maisha yake yote; akimtoa pia atabaki na guilty concious maisha yake yote, maana kila wakati atakuwa anakumbuka, ningezaa mtoto angekuwa na umri huu, angekuwa amemaliza shule, angekuwa ameoa au kuolewa, na mengine
so mdogo wangu mpe mtoto haki yake ya msingi ya kuishi
"FOR WHATERVER REASON, TAKING SOMEONES' LIFE IS NEVER RIGHT"