Mimba yatoweka kimazingara-Nimpe ushauri gani dada huyu?

hormones ndio alizani anaimba

au ni spiritual problem
anahitaji sala na kumjua mungu

mbongopopo,its not wht u think. Hii kitu inamfanya mtu aamini kabisa kuwa ni mjamzito,anapata dalili zote sawasawa na mtu mwenye mimba. So si kosa lake.
 
I gor u dude!! mungu akujaze ..... tehetehe hekma!
 
Je kaolewa na mume wa mtu au kijana. Anaweza pia kwenda kijijini kwao au kwa mmewe kupata msaada. Kuna wabibi wanajua solution ya tatizo kama hilo. Kuna mtu aliwahi kukaa na mimba kwa miaka 3 akaenda sehemu ikawa reality na akajifungua.
 
ameolewa na kijana mwenzake baada ya kuachwa na mume wake wa kwanza.alihudhuria tiba asili wakati wa ndoa yake ya kwanza bila mafanikio.
 
Waende kwa dkt both mke na mume wapate ushauri.
 
Kama anasema mtoto alikuwa anacheza iweje sasa tena mtoto atoweke??? Kama mimba imeharibika lazima angepata eidha maumivu ya tumbo au kubleed kwa sana. Ilaa mhhh kwa hili linahitaji utaalamu zaidi hapa maana naona pazito. By the way mpe pole sana aisee
 
Mie binafsi nahisi suala la mtoto kucheza lilikuwa propaganda huenda alidanganya kwa huyo mume ili amuoe,but ajitahidi maombi tu mungu atamsaidia.
 
ameolewa na kijana mwenzake baada ya kuachwa na mume wake wa kwanza.alihudhuria tiba asili wakati wa ndoa yake ya kwanza bila mafanikio.
Ushauri wangu aende kwa wazazi wake wanayajua haya mambo. Kama hana wazazi nipm naweza kukusaidia.
 
mie binafsi nahisi suala la mtoto kucheza lilikuwa propaganda huenda alidanganya kwa huyo mume ili amuoe,but ajitahidi maombi tu mungu atamsaidia.

butola,watu wenye false pregnancy huwa wanafeel mtoto kucheza na uchungu pia wanapata. Ultrasound ndo huwa inaonyesha kuwa hakuna mtoto.
 
hii kitu ipo kisayansi zaidi jamani,mdada alikuwa anafeel dalili zote na pia zingine huwa zinaonekana japo mtoto tumboni hamna.
 
Mie binafsi nahisi suala la mtoto kucheza lilikuwa propaganda huenda alidanganya kwa huyo mume ili amuoe,but ajitahidi maombi tu mungu atamsaidia.

Mkuu yaweza isiwe Propaganda, hii kitaalamu wanaita Somatization
 
Somatization is the process by which mental and emotional stresses become physical in the form of psychosomatic illnesses. Some experts believe that, as stresses play on the body, the weakest or most prone system becomes the likely target for somatization. Others believe the area affected by somatization has a direct relationship to the nature of the negative thought patterns through mind/body relationships not yet fully understood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…