Mimba yatoweka kimazingara-Nimpe ushauri gani dada huyu?

Mimba yatoweka kimazingara-Nimpe ushauri gani dada huyu?

hormones ndio alizani anaimba

au ni spiritual problem
anahitaji sala na kumjua mungu

mbongopopo,its not wht u think. Hii kitu inamfanya mtu aamini kabisa kuwa ni mjamzito,anapata dalili zote sawasawa na mtu mwenye mimba. So si kosa lake.
 
chweche,sor kwa kutokunielewa. Hii hali huwa inatokea kwa wanawake wanaotaka au wenye hamu sana ya kupata mimba. Hali hiyo inasababisha mfumo wa homoni kubadilika hivyo kufanya zile homoni za ujauzito kuwa produced. Mama anapata dalili zote za mimba kama maziwa kujaa,tumbo kuendelea kukua,kutopata menstrual period,quickening of the fetus(mtoto kucheza),na pia hata kuona dalili za uchungu.

Anatakiwa afanyiwe kanseling ili apone na nadhani pia kuna dawa zinazoweza kumsaidia.

Hope umenipata japo kidogo.

I gor u dude!! mungu akujaze ..... tehetehe hekma!
 
Kuna classmet wangu wa zamani anahitaji ushauri wangu; yeye aliwahi kuolewa miaka minne iliyopita lakini aliachika kwa kushindwa kupata mtoto.miezi mitatu iliyopita aliolewa tena huku akiwa na dalili zote za mimba (kukosa hedhi,kutapika asubuhi,kiungulia,miguu kuvimba,kunenepa,kutokwa maziwa na tumbo kuongezeka ukubwa).jana alikuwa akifanya shopping ya nguo za mtoto,baada ya pitapita zake aliamua kufanya ultra sound kwani alihisi mtoto amepunguza kucheza, Kilichoshangaza ni majibu ya ultra sound hayakuonyesha kuwepo kiumbe chochote kwenye tumbo lake.alijaribu kurudia ultra sound katika sehemu 3 tofauti but the answer was the same. Aliangua kilio sana na sasa anahitaji ushauri ni nini amemwambie mume wake? Wanajf nimshauri nini huyu dada?
Je kaolewa na mume wa mtu au kijana. Anaweza pia kwenda kijijini kwao au kwa mmewe kupata msaada. Kuna wabibi wanajua solution ya tatizo kama hilo. Kuna mtu aliwahi kukaa na mimba kwa miaka 3 akaenda sehemu ikawa reality na akajifungua.
 
Je kaolewa na mume wa mtu au kijana. Anaweza pia kwenda kijijini kwao au kwa mmewe kupata msaada. Kuna wabibi wanajua solution ya tatizo kama hilo. Kuna mtu aliwahi kukaa na mimba kwa miaka 3 akaenda sehemu ikawa reality na akajifungua.

ameolewa na kijana mwenzake baada ya kuachwa na mume wake wa kwanza.alihudhuria tiba asili wakati wa ndoa yake ya kwanza bila mafanikio.
 
Waende kwa dkt both mke na mume wapate ushauri.
 
Kama anasema mtoto alikuwa anacheza iweje sasa tena mtoto atoweke??? Kama mimba imeharibika lazima angepata eidha maumivu ya tumbo au kubleed kwa sana. Ilaa mhhh kwa hili linahitaji utaalamu zaidi hapa maana naona pazito. By the way mpe pole sana aisee
 
Mie binafsi nahisi suala la mtoto kucheza lilikuwa propaganda huenda alidanganya kwa huyo mume ili amuoe,but ajitahidi maombi tu mungu atamsaidia.
 
ameolewa na kijana mwenzake baada ya kuachwa na mume wake wa kwanza.alihudhuria tiba asili wakati wa ndoa yake ya kwanza bila mafanikio.
Ushauri wangu aende kwa wazazi wake wanayajua haya mambo. Kama hana wazazi nipm naweza kukusaidia.
 
mie binafsi nahisi suala la mtoto kucheza lilikuwa propaganda huenda alidanganya kwa huyo mume ili amuoe,but ajitahidi maombi tu mungu atamsaidia.

butola,watu wenye false pregnancy huwa wanafeel mtoto kucheza na uchungu pia wanapata. Ultrasound ndo huwa inaonyesha kuwa hakuna mtoto.
 
kama anasema mtoto alikuwa anacheza iweje sasa tena mtoto atoweke??? Kama mimba imeharibika lazima angepata eidha maumivu ya tumbo au kubleed kwa sana. Ilaa mhhh kwa hili linahitaji utaalamu zaidi hapa maana naona pazito. By the way mpe pole sana aisee

hii kitu ipo kisayansi zaidi jamani,mdada alikuwa anafeel dalili zote na pia zingine huwa zinaonekana japo mtoto tumboni hamna.
 
Mie binafsi nahisi suala la mtoto kucheza lilikuwa propaganda huenda alidanganya kwa huyo mume ili amuoe,but ajitahidi maombi tu mungu atamsaidia.

Mkuu yaweza isiwe Propaganda, hii kitaalamu wanaita Somatization
 
Somatization is the process by which mental and emotional stresses become physical in the form of psychosomatic illnesses. Some experts believe that, as stresses play on the body, the weakest or most prone system becomes the likely target for somatization. Others believe the area affected by somatization has a direct relationship to the nature of the negative thought patterns through mind/body relationships not yet fully understood.
 
Back
Top Bottom