GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jumla ya wazazi 35 wakazi wa Kata ya Nalasi katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuwafungia watoto wa kike chini ya miaka minane huku wakiwafundisha mbinu za kuishi na wanaume maarufu kama “Msondo” mila ambayo imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha mimba za utotoni wilayani humo.
ITV Tanzania.
ITV Tanzania.