Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyoandika vigumu kueleweka...j1 kuamkia j2 ipi? same week? a week later? 2 weeks later?
Inategemea na urefu wa mzunguko wake wa mwezi (bleed moja mpaka nyingine ni siku ngapi). kwa wengi ni siku 26 - 28, kwa wachache ni fupi na wengine ni ndefu. Kama mzunguko wake ni wa kawaida (siku 26 - 28) au mrefu (zaid ya siku 28), basi si rahisi kupata mimba kwa siku hizo ulizotaja. Lakini kaka ana mzunguko mfupi, uwezekano upo...japo pia ni mdogo.
NB: Condom huzuia tatizo kubwa zaidi ya mimba.....kifo! use it!
Pole.
Mkuu, mwanamke anaweza kushika mimba ndani wakati ana bleed?Sorry, pana typo pale...nilimaanisha 'kama mzunguko wa mpenzi wako huyo ni mfupi, yaani chini ya siku 26, basi kunawezekana akapata ujauzito...lakini uwezekano huo ni mdogo. mara nyingi kuanzia siku ya 8 au 9 tangu kubleed ndio inakuwa hatari kwa wanawake wenye mzunguko mfupi.
Lakini kwa kuwa huyo mpenzi wako ana mzunguko wa siku 28 (are you sure?) basi hawezi kupata ujauzito kwenye siku hizo ulizotaja.
wanawake wenye mzunguko wa siku 28 hutoa yai siku ya 14 tangu aanzae kubleed, kwa hiyo hatari ya kupata mimba kwao ni kuanzia siku ya 11 tangu aanze kubleed, mpaka siku ya 18.
Again, Condom ni muhimu, hata kama ni mpenzi wako wa muda mrefu.
Mkuu, mwanamke anaweza kushika mimba ndani wakati ana bleed?
Kingine kawa mwanamke siku zake ni ndefu siku 30 mpak 32, ni muda gani kwake kushika ujauzito?

mkuu kwenye bluu:

Ni j1 kuamkia j2 ya wiki hii ndo nakutananae.

na hapo kwenye red sijakuelewa unakuwaje rahisi tena, halfu yeye mzunguko wake ni siku 28.

mzee(kijani) hata kwa mpenzi wako siku 1 usimvulie akahisi ladha yako.

AHSANTE KWA KUNIPA POLE!
Mkuu Riwa, nashukuru sana kwa majibu yako murua!Penye red...no, mwanamke hawezi kushika mimba akiwa anableed. Kwani anapobleed nikuwa anatoa yai ambalo halikurutubishwa na kizazi kinashed off ili kujiandaa na mzunguko mpya.
Penye blue..yai huwa linatolewqa kati ya mzunguko wa mwezi tayari kwa kurutubishwa, kwa hiyo hapo yai litatolewa siku ya 15 au 16. Mbegu za mwanaume zinaweza kuwa hai kwa si zaidi ya siku tatu, so ukitoa hapo...siku zake za ujauzito zitakuwa kuwanzia siku ya 12 tangu aanze kebleed, mpaka siku ya 19.