kama mwanaume amekataa na umepima mwenyewe umeona huwezi then toa,single parenting is not an easy ride.......
aaah kabisa kutoka moyoni uko ready kumtoa mtoto coz uwezi kuwa single mom.kama mwanaume amekataa na umepima mwenyewe umeona huwezi then toa,single parenting is not an easy ride.......
Wakati akimpa bila kinga alitegemea utamu tuuuu au hajui kuna mimba pia?
Ukiona mwanaume amekataa mimba ujue hujatulia ulikuwa kiruka njia leo kwa Haji kesho kwa Mrisho kesho kutwa kwa Sudi
aaah kabisa kutoka moyoni uko ready kumtoa mtoto coz uwezi kuwa single mom.
ushawahi kuona labda kwenye tv mtoto/mimba inavyotolewa ?
acha tu ukiona kile kiumbe kinavyoangaika wakati anatolewa kamwe maishani mwako utotaka kusikia kuhusu swala la kutoa mimba unless una moyo wa chuma.
wewe ukijikata kwa bahati mbaya na kisu au wembe unajisikiaje maumivu au ukiungua na moto kwa bahati mbaya unasikiaje maumivu afu peleka yale maumivu kwa mtoto unayemtoa.
ni bora upate fedheha za wanadamu kuliko kutoa mimba.
tafuta cd ya jinsi ya kutoa mimba ndo utaelewa.
Wakati akimpa bila kinga alitegemea utamu tuuuu au hajui kuna mimba pia?
Kulizungumzia suala ya kutoa mimba kunahitaji tafakuri ya kina na wakati mwingine kuvaa viatu vya wahusika wa suala hilo.
Hebu fikiria binti ni tegemezi kwa asilimia 100 na familia yake ipo ktk kundi la mafukara, binti amegeuzwa kuwa kiburudisho/mfariji wa ngono na mchovu mwenzake, inatokea mimba anaikana kwa sababu hana uwezo/hataki majukumu Huyo binti afanyeje? hapa ni bora aitoe ili aendelee na maisha yake.
Pia kwa sehemu kubwa mahusiano ya cku hizi ni ya kuburudishana zaidi ya kujenga familia, vijana(me) wengi bado wapo wapo sana kuhusu suala la kuanza kununua pampas,n.k, na wengine hawataki kabisa kuzaa na watu ambao hawatakuja kuishi nao kwa hiyo mimba ikizalishwa aidha binti akubali itolewe au iwe yake, sasa ni juu ya binti ana uwezo wa kuitunza, familia je-itamuunga mkono au ndo mwanzo wa mateso?
Kwakweli twendeni na hali halisi nafikiri ipo haja bila ya msukumo wa dini yetu suala la kutoa mimba liruhusiwe
dont play sympath card, am sure huyo mtoto atakushangaa akikuona unamlea kwa mateso kwa nini hukumtoa....
Wanawake mna roho ngumu. Ila sidhani huo ugumu wa roho utakuwepo kama ni lile gonjwa.