Inawezekana kabisa ndugu. Ninao ushahidi wa kutosha. Kisayansi, mwanamke akiwa kwenye ovulation, huwa na ute mwepesi na laini sana. Ikiwa atagusana na mwanaume ambaye haja du siku nyingi, akiachia sperm huwa zinakuwa na speed kali sana, hivyo kwa bahati zikakutana na ule ute laini, midhili ya ute mweupe wa yai, huweza kusafirishwa haraka hadi kwenye yai lililopevuka, hivyo uwezekano wa binti kupata mimba ni mkubwa. Imetokea na nikashuhudia.
Kwa kumwagia juu, bila ya kuingiza hata kichwa?