Ronzobe B29
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 242
- 89
Unajua tu.....
Imagine umeliwa na wanaume wawili in a day na ndiyo siku ya hatari. Mmoja kukularua asubuhi na mwingine jioni mchepuko na umemimbika who is the causative..!Tunajua kwa kua tunazifahamu siku zetu za hatari,binafsi nilitumia mbinu hiyo kujipangia watoto wangu kwa jinsia na Kwa uwezo wa Allah nikapata kama nilivyotarajia nna Dume,Dume,Jike
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waje mie hii siifahamu kwa kweliImagine umeliwa na wanaume wawili in a day na ndiyo siku ya hatari. Mmoja kukularua asubuhi na mwingine jioni mchepuko na umemimbika who is the causative..!
Ata ajifanye anajua vipi hawezi kuwa na uhakika wa jibu ili kuwa aliemjaza ni yupi.Imagine umeliwa na wanaume wawili in a day na ndiyo siku ya hatari. Mmoja kukularua asubuhi na mwingine jioni mchepuko na umemimbika who is the causative..!
Wengine hawajui tena hawajui kabisa ndo maaa wanahaha nani ampe mimba ......... Kama anamwanamme mmoja anapata mimba lkn asijue mimba imeingia lini sembuse mwenye mabwana wengi ndo atajua niyanani ????? Usiwape upekee wamaana kumbe Hamna kitu .Mwanamke hata atembee na wanaume wangap na akapata mimba atajua tu kwamba hii mimba n ya fulan
Na pind tu mimba inapoingia tuseme sekunde mwanamke hutambua. Cjui uwezo aliowapa mungu
Sasa naomba kujuzwa ni dalil zp hua anazi sense mwanmke pind 2mimba inapoingia au ni mabadliko gan hua anayapta ndan ya huo mda mfupi
Nawsilisha wadau
Je kwako???Kuna ambao hupata dalili zile za mwanzo kabisaa za ujauzito mara tu mimba inapoingia na wapo ambao hawajui kabisaa mpaka wiki au wiki mbili ndo huona dalili
Mwaga unga kabsa tujueKuna kautamu flani kanapita katofauti unakasikia ndani ya kiungo. Sio sawa na ka siki zote as kuna sehemu untouchable imeguswa.
MmmmhJe kwako???