Mimbaa kwa wanawake naombeni mtusaidie

Mimbaa kwa wanawake naombeni mtusaidie

Ronzobe B29

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
242
Reaction score
89
Mwanamke hata atembee na wanaume wangap na akapata mimba atajua tu kwamba hii mimba n ya fulan

Na pind tu mimba inapoingia tuseme sekunde mwanamke hutambua. Cjui uwezo aliowapa mungu

Sasa naomba kujuzwa ni dalil zp hua anazi sense mwanmke pind 2mimba inapoingia au ni mabadliko gan hua anayapta ndan ya huo mda mfupi

Nawsilisha wadau
 
nasubir inaweza kuwa hata hivi vipimo ni geresha tu
 
Tunajua kwa kua tunazifahamu siku zetu za hatari,binafsi nilitumia mbinu hiyo kujipangia watoto wangu kwa jinsia na Kwa uwezo wa Allah nikapata kama nilivyotarajia nna Dume,Dume,Jike

Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine umeliwa na wanaume wawili in a day na ndiyo siku ya hatari. Mmoja kukularua asubuhi na mwingine jioni mchepuko na umemimbika who is the causative..!
 
KWANI MKUU UKIUMWA MALARIA SI UNAZISIKIA DALILI? THE SAME TO WOMEN, KWA HYO KAMA UNATAKA KUPRACTICE BETTER UCHANGE JINSIA.
 
Kuna ambao hupata dalili zile za mwanzo kabisaa za ujauzito mara tu mimba inapoingia na wapo ambao hawajui kabisaa mpaka wiki au wiki mbili ndo huona dalili
 
Mwanamke hata atembee na wanaume wangap na akapata mimba atajua tu kwamba hii mimba n ya fulan

Na pind tu mimba inapoingia tuseme sekunde mwanamke hutambua. Cjui uwezo aliowapa mungu

Sasa naomba kujuzwa ni dalil zp hua anazi sense mwanmke pind 2mimba inapoingia au ni mabadliko gan hua anayapta ndan ya huo mda mfupi

Nawsilisha wadau
Wengine hawajui tena hawajui kabisa ndo maaa wanahaha nani ampe mimba ......... Kama anamwanamme mmoja anapata mimba lkn asijue mimba imeingia lini sembuse mwenye mabwana wengi ndo atajua niyanani ????? Usiwape upekee wamaana kumbe Hamna kitu .
 
Kuna kautamu flani kanapita katofauti unakasikia ndani ya kiungo. Sio sawa na ka siki zote as kuna sehemu untouchable imeguswa.
 
mwanaume aliemkaza vizuri siku za karibuni ndio atakae shushiwa zigo na si vinginevyo... utamu wa mchezo ndio unahamua nani baba wa mtoto..
 
Back
Top Bottom