Queenever JF-Expert Member Joined Aug 16, 2017 Posts 2,051 Reaction score 3,018 Aug 21, 2017 #41 Huwezi jua mimba ni ya nani ,,,kwani mimba ikiingia kuna mlio unasikika???
B Barbra JF-Expert Member Joined Oct 19, 2016 Posts 1,046 Reaction score 946 Aug 24, 2017 #42 Kwa kujua muda ambao au siku ulipata ujauzito kwangu Mimi hapana sikujua kabisa nilishangaa tu nachoka sana nkiamka asubuh ndo balaa kumbe tayar na hapo tayari ilikuwa na 4 weeks Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kujua muda ambao au siku ulipata ujauzito kwangu Mimi hapana sikujua kabisa nilishangaa tu nachoka sana nkiamka asubuh ndo balaa kumbe tayar na hapo tayari ilikuwa na 4 weeks Sent using Jamii Forums mobile app