Mimbaa kwa wanawake naombeni mtusaidie

Mimbaa kwa wanawake naombeni mtusaidie

Huwezi jua mimba ni ya nani ,,,kwani mimba ikiingia kuna mlio unasikika???
 
Kwa kujua muda ambao au siku ulipata ujauzito kwangu Mimi hapana sikujua kabisa nilishangaa tu nachoka sana nkiamka asubuh ndo balaa kumbe tayar na hapo tayari ilikuwa na 4 weeks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom