tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete mboga kwanzaMwaga unga kabsa tujue
Umeona eeheh..!Ata ajifanye anajua vipi hawezi kuwa na uhakika wa jibu ili kuwa aliemjaza ni yupi.
Nyie viumbe mumeumba na complications nyingi aiseu..!
Uliwahi kupata mimba???Kuna ambao hupata dalili zile za mwanzo kabisaa za ujauzito mara tu mimba inapoingia na wapo ambao hawajui kabisaa mpaka wiki au wiki mbili ndo huona dalili
Mmhhh! Muongo wewe HKL hujui mimba inaweza tungwa in 72 hrs after sex...????Kuna kautamu flani kanapita katofauti unakasikia ndani ya kiungo. Sio sawa na ka siki zote as kuna sehemu untouchable imeguswa.
SijawahiUliwahi kupata mimba???
Na je ulizaa??
Ama ulitoa??
Sasa hivi umeolewa au bado??
Maswali chokonozi..!
Chuma mbogaa!!!?Lete mboga kwanza
Khaah kumbe..! Nikajua bado kumezibwa kumbe used tayari pole yangu kumbe ningesaga nguvu zangu kukufukuzia[emoji125][emoji125][emoji125][emoji774]Sijawahi
Nimewahiwa tayari
Wengi HKL..[emoji23][emoji23]Mbn watu hawafunguki au maada haieleki???
Siku hiohioChuchu zinauma na sehemu nyeusi around chchu inakplea weusi...kwa ambao hawna inapaukaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa hakuna kipimo ambacho kinaonyesha moja kwa moja kama ujauzito (Mimba) umeingia mpaka kusubiri kwa mda wa siku 7 mpaka 10 baada ya mbegu za kiume kukutana na yai (Urutubishaji) .Mwanamke hata atembee na wanaume wangap na akapata mimba atajua tu kwamba hii mimba n ya fulan
Na pind tu mimba inapoingia tuseme sekunde mwanamke hutambua. Cjui uwezo aliowapa mungu
Sasa naomba kujuzwa ni dalil zp hua anazi sense mwanmke pind 2mimba inapoingia au ni mabadliko gan hua anayapta ndan ya huo mda mfupi
Nawsilisha wadau
Yani hapa nimejikuta namsaidia ku-google tu maana imekuwa ngumu kumjibu mimi kama mimi maana sijawahi kuwa na mimba
Nasikia ukipiga two in one hautambui ni ya nani.