Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
na akaona achimbe shimo ayafukie maneno apande na mti mti nao friji lake bovuUmenikumbusha mbali🤣🤣🤣
Kuna watu hawafai kushirikishwa jambo la siri! Uvumilivu ulimshinda bwana kinyozi😀
Kumbe na wewe ulikisoma! Uvumilivu ulimshinda japo alijitahidi🤣na akaona achimbe shimo ayafukie maneno apande na mti mti nao friji lake bovu
Hilo siyo bichwa komwe, ni kundu komwe.Mtoa hoja ana hoja
Hakuna kitu kama hicho ulichokisema.
Hakiwezekani kimantiki, kisayansi na Wala kifalsafa yoyote.
Ingekuwa kweli watu wasingepambana kununua pembejeo Bali wangelitafuta mghani mashairi hodari ili wapate mavuno bora.
BICHWA KOMWE kama unamuonea wivu mtaalamu wetu nenda nawe ukasome
Mfalme ana mapembe.na akaona achimbe shimo ayafukie maneno apande na mti mti nao friji lake bovu
Ni miaka mingi lakini bado nakumbuka baadhi ya maneno.Mfalme ana mapembe.