Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
- Thread starter
-
- #381
Nasubiria hiiHuu mmea kisayansi unajulikana kama “Thevetia peruviana” au “Cascabela thevetia” ni miongoni mwa mimea yenye sumu lakini ni dawa.
Ni miongoni mwa mimea bingwa kwa kutibu shida nyingi za ngozi —ni mmea wenye nguvu kubwa ya kufuta kabisa saratani (cansa)
Wekeni Likes za kutosha niwaletee somo
Mdharau asili hufa kikatiliView attachment 3417197
Tupo pamoja mkuuNasubiria hii
UsisahauuuLaiti kama waafrica tungejali asili zetu—huu mmea usingeruhusiwa kufyekwa na kukatwa kama magugu, familia nyingi zingekuwa na bustani kubwa za huu mmea. Ni dawa kuanzia mizizi yake, majani yake, maua yake, matunda yake hadi mbegu zake😊 Ni miongoni mwa miti dawa muhimu zaidi.
Unajulikana kama Sodom apple, jina lake la kisayansi ni “Solanum incanum” hapa Tanzania maarufu kwa jina la mtulatula.— ni mmea wenye uwezo wa kushusha kisukari kwa muda mfupi zaidi, ni mmea uliojipatia umaarufu mkubwa kwa kutibu meno yaliyotoboka.
Hapa ni utangulizi tu somo zima linakuja, wekeni likes za kutosha.View attachment 3421652
UsijaliUsisahauuu
Kama unaona maelekezo hayatosha jazia wewe mkuuMleta mada unaandika vitu jumuishi sana kiasi kwamba mtu akiyachukua kichwakichwa hakuna atapata.
Mnapo toa dawa lazima utoe na maelekezo ya matumizi. Msije mkaleta madhara makubwa kuliko faida
Miti shamba matunda na mimea ni muhimu sana kwa afya ya binadamu, ni vile tu tunapuuza.HII NI FUNGA KAZI YA MWAKA KWA WAMAMA.
HII UNASHIKA MIMBA HATA KABLA YA KUVUA👙🩲
NI POA KWA WALE AMBAO WAMEACHA DAWA ZA UZAZI NA WANATAKA KUBEBA MIMBA. SAFISHA KIZAZI NA DAMU.
UTAPATA MTOTO ALIYEKUZIDI AKILI ILA SIO MIMI. INAITWA COMBO MIX BY YAS🫵
WEWE TUMIA MIMI SITAKI PESA YAKO🙅 NITALIPWA NA ULIMWENGU
1.Karafuu
2. Mdalasini
3. Limao
4. Swaumu
5. Pilipili manga
6. Tangawizi
Matumizi
Changanya sehemu Moja, twanga na uloweke kwenye maji ya uvuguvugu Kisha ndani ya saa 12 utapata fusion nzima.
Ukiamka asubuhi glass Moja Kisha jioni pata Tena glass ingine.
Fanya hivyo kwa siku 30.
Na kama upo kwenye ndoa utaipendView attachment 3225450a hiyo
Uzungu mwingi tunauweka mbele na kudharau vya kwetu,uku tunaumiaMiti shamba matunda na mimea ni muhimu sana kwa afya ya binadamu, ni vile tu tunapuuza.
DAWA ASILI YA TYPHOID (Homa ya Matumbo)Naombeni dawa asilia ya taifodi na minyoo ya amiba
Shukrani sanaDAWA ASILI YA TYPHOID (Homa ya Matumbo)
Majani ya mpera
Matumizi: Chemsha majani ya mpera kikombe 1 cha majani katika maji lita 1 kwa dakika 10.
Unywaji: Kunywa kikombe 1 x 3 kwa siku kwa wiki 1–2.
Faida: Yanasaidia kuua bakteria wa typhoid na kutuliza tumbo.
Tangawizi + Kitunguu saumu
Matumizi: Saga vipande vya tangawizi 1 na punje 3–5 za kitunguu saumu, chemsha pamoja.
Unywaji: Kunywa mara mbili kwa siku.
Faida: Ni antibiotic ya asili na husaidia kushusha homa.
Maji ya majani ya papai
Matumizi: Saga majani ya papai mabichi (kiasi cha kikombe ½), changanya na maji ya uvuguvugu.
Unywaji: Kunywa mara moja
kwa siku kwa siku 5–7.
Hizi zote nilizo kupa ni dawa za kutibu typhoid unaweza chagua moja ambayo kwako n rahisi kuipata tumia.
Apa CHINI nitakupa dawa za kutibu minyoo ya amiba nazo uta chagua moja wapo utatumia👇🏾👇🏾
🪱 DAWA ASILI YA MINYOO YA AMIBA (Entamoeba histolytica)
Majani ya mlonge (Moringa)
Matumizi: Chemsha majani ya mlonge, weka limao kidogo ndani.
Unywaji: Kikombe 1 × 2 kwa siku kwa siku 5–7.
Mbegu za maboga
Matumizi: Saga mbegu za maboga mbichi (sio zilizokaangwa), weka kwenye maji ya uvuguvugu au uji.
Unywaji: Kunywa asubuhi tumbo likiwa tupu kwa siku 7.
Faida: Zinasaidia kufukuza minyoo kwa asili.
Kitunguu maji + asali
Matumizi: Saga kitunguu maji 1 kisha changanya na kijiko cha asali.
Unywaji: Mara 2 kwa siku.
Faida: Husafisha utumbo na kuua vimelea wa amiba.
Angalizo
Epuka kula vyakula visivyoiva vizuri (kama nyama za mtaani, matunda bila kuosha).
Kunywa maji yaliyochemshwa au yaliyopitia kwenye chujio bora.
Tumia pia probiotic (mtindi wa asili au yoghurt) kusaidia utumbo.
Usijali tupo pamoja 🙏🏽Shukrani sana