Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

KITUNGUU SAUMU KINA MSAADA UPI KWA WANAUME

Mda huu ngoja nikupe mbinu rahisi ya kuvikojo*** vitoto vya 2000 kirahisi kabisaa😅😅😅😅

Kitunguu saumu kina ALLICIN, kiambata kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.

Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini ni kuwa na viasili kadhaa ambavyo vina uwezo tofauti tofauti.

Baadhi ya viasili hivi husaidia kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation, kwa lugha ya kiingereza) kwa kubadilisha polysulphides zilizo ndani yake kuwa hydrogen sulphides kwenye seli nyekundu za damu.

Pia, kitunguu saumu husaidia kuthibiti kiwango cha kemikali iitwayo homocystine
mwilini na hivyo kupunguza madhara ya kisukari. Kitunguu saumu kina allicin , kiambato ambacho husaidia mwili kuwa na mzinguko mzuri wa damu hadi kwenye viungo vya uzazi.

Kuwa na damu ya kutosha katika uume husababisha hiki kiungo kusimama na hivyo kustahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu.

Jinsi ya kukitumia.
Asubuhi chukua punje nne hadi sita kisha meza kama unavyomeza vidonge kwa kusukumia maji au unaweza kutumia maziwa ya mtindi.... fanya hivyo pia kabla ya kulala.

N.B kitunguu saumu sishauri ukitumie kama wewe ni mgonjwa wa presha ya kushuka.

Pia kwa wanaume, ikiwa unahitaji kuwa unstoppable katika tendo la ndoa zingatia au ongezea hivi vitu kwenye ratiba yako ya siku ili uone utamu wa kuwa kidume zaidi
....
1738692973901.jpg
 
Kama U.T.I yako haisikii dawa, wala kabla hujaja inbox kunambia kuwa una YUTIAI SUGU na ya muda mrefu

Andaa lita moja ya maji kwenye sufuria

Chukua majani ya mpera chemsha pamoja na limao (ondoa mbegu na maganda ya limao ili kuepuka dawa yako kuwa chungu)

Chemsha vyote kwa muda wa dakika kadhaa kisha ipua,

Utakunywa kutwa mara tatu, asubuhi mchana na jioni, nusu kikombe cha chai katika kila awamu inatosha

Formula hii haifai kwa mjamzito
.
1738693024577.jpg
 
1738693024577-jpg.3225437
 
🥣JITIBU AFYA YAKO 🏡
1738693137770.jpg

🧏‍♂️ FAIDA ZAIDI ZITOKANAZO NA BAMIA!!!!

😂Ukipika bamia zikaondoa ule ujani, tayari unakuwa umeziharibu na hivyo zikifika tumboni hazifanyi kazi ipasavyo ndio maana ni bora zaidi kuzitafuna zikiwa mbichi kama kachumbari kwa faida ya afya kiujumla, faida zitokanazo na bamia.

MWANAMKE NA UZAZI tutakupa siri muhimu kwanini ule bamia mbichi au zilizopashwa kwenye moto kidogo tu.

1️⃣Kwanza ukichukua bamia mbichi ukawa unatafuna + ndimu kila siku asubuhi, kama alikuwa na kinyama kwenye mlango wa choo (Bwawasiri) kinakauka chenyewe.

2️⃣Pili kama unaujauzito na unapanga siku ya kujifungua usipate shida ya mtoto kupita, kula sana mrenda wa bamia kila siku.

3️⃣Tatu kama wewe ni mwanaume na manii zako ni nyepesi mfano wa maji maji, hazina nguvu kula Bamia + karanga au korosho, wiki tatu nyingi sana utaona manii nzito ambazo zikiingia kwenye mji wa mimba kwa mwanamke alie katika siku mhimu kunasa ujauzito, zinatungisha mimba kama hakuna changamoto nyingine ya kiafya.

4️⃣Kama wewe ni mtu mwenye vidonda vya tumbo au hauna vidonda vya tumbo na unataka usije kuvipata kula kwa wingi Bamia ule mlenda wake unazuia hadi saratani ya tumbo na utumbo.

5️⃣Kama wewe ni mwanamke na uke wako ni mkavu sana wakati wa tendo la ndoa, unachubuka na kuumia kula bamia utashanga unavyoburudika.

6️⃣Kwa wagonjwa wa kisukari wakila bamia kwa kufuliza hupata ahueni au unafuu mkubwa kwani hutuliza kashikashi za ugonjwa huo.

7️⃣Maajabu ya bamia kuongeza uwezo wa nguvu za tendo la ndoa, kwa wasioelewa bamia ni jamii ya tunda la kola ambalo jamii hizi zinawingi wa zinc na kumbuka kazi ya zinc ni kuongeza nguvu na stamina na kusafisha njia ya mishipa ya damu iliyopooza au kuelegea n.k
 
Kunywa kikombe cha chai cha mizizi ya migomba iliyochemshwa pamoja na tangawizi mara mbili kwa siku hutibu kabisa tatizo la kuwahi kumwaga manii kabla ya wakati wake pamoja na tatizo la kukosa nguvu za kiume (premature ejaculation and erectiledysfunction) .

Maandalizi ya tiba hii hukufanya udumu kwa muda mrefu katika tendo la ndoa kuliko unavyofikiri.

Asili huponya .
1738693214196.jpg
 
HUU MMEA WENGI HUITA NYASI/GOOSE GRASS

KUNA SEHEMU NJE NA TANZANIA KILO MOJA HUUZWA SI CHINI YA MILION 7 NA KUENDELEA

HII NI TIBA MAARUFU NA NZURI YA MAGONJWA YA FIGO

TUZIJUE DALILI ZA AWALI ZA MAGONJWA YA FIGO

🌹Kupungua kiwango au kutopata haja ndogo
🌹Damu kwenye haja ndogo(hapa sio lazima uone rangi nyekundu mkojo unaweza kuwa na rangi ya chai au coca cola)
🌹Miwasho
🌹Kuchoka
🌹Kuvimba sehemu za mwili kama uso,miguu nk
🌹Kupungua uzito

Watu wengi wanaokufa kwa magonjwa ya figo ni kwasababu wanaenda hospitali katika hatua za mwisho kabisa za ugonjwa ambazo gharama za matibabu huwa ni kubwa kama kusafishwa damu, au kupandikizwa figo lakini unapong'amua dalili hizi na kuamua kwenda kufanyiwa vipimo basi unaweza kuokoa uhai wako kwa gharama nafuu zaidi na hata Bure kabisa maana huo Mmea nilioutaja ni msaada kwa Magonjwa ya Figo

Tumia huu mmea Kwa matokea mazuri pia ni Dawa ya Maumivu, uvimbe katika ovari, hukinga saratani za aina zote , kutoa sumu mwilini ndani ya wiki 3 tu...

MATUMIZI
CHUKIA MMEA WOTE OSHA KISHA CHEMSHA KWA DK 15 ,OPOA KUNYWA IKIWA YA UVUGUVUGU KIKOMBE KIMOJA MARA
1738693276610.jpg
MBILI KWA SIKU
 
DAWA YA SIKIO KUUMA NA KUTOA USAHA:

MAHITAJI:

Majani ya mbaazi

MATAYARISHO NA MATUMIZI YAKE:

Chukua majani kidogo ya mbaazi na uyatwange kisha kamulia maji yake kwenye sikio linalouma au kutoa usaha fanya hivo kutwa mara 2 kwa siku 3. Kwa uwezo wa Mungu tatizo lako litakwisha

Asili huponya
1738693318589.jpg
 
View attachment 3225443
Asante na ubarikiwe sana kwa kutujuza dawa
 
Kwanini Utumie Beetroot Kushusha Presha Yako!

Kuna faida nyingi kiafya, hasa kwa watu wanaougua presha ya kupanda (high blood pressure).

Hii ni kutokana na kiwango kikubwa cha nitrati kilichomo ndani ya beetroot.

Nitrati hizi mwilini hubadilishwa kuwa nitric oxide, ambayo husaidia kupanua na kurelax mishipa ya damu, hivyo kushusha shinikizo la damu.

Kwa tafiti mbalimbali zimebainisha kuwa ulaji wa beetroot au kunywa juisi yake mara kwa mara kunaweza kusaidia kupunguza shinikizo la damu kwa watu wanaougua presha ya kupanda.

Pia, beetroot ina antioxidants na madini kama potassium na magnesium ambayo yana manufaa katika kudhibiti na kusimamia afya ya moyo......

NB: isitumie na mtu mwenye tatizo la mawe katika Figo ama uwingi Wa damu...

Tumia Angalau mara 3
1738693980543.jpg
Tu Kwa Wiki...
 
HII NI FUNGA KAZI YA MWAKA KWA WAMAMA.

HII UNASHIKA MIMBA HATA KABLA YA KUVUA👙🩲

NI POA KWA WALE AMBAO WAMEACHA DAWA ZA UZAZI NA WANATAKA KUBEBA MIMBA. SAFISHA KIZAZI NA DAMU.

UTAPATA MTOTO ALIYEKUZIDI AKILI ILA SIO MIMI. INAITWA COMBO MIX BY YAS🫵

WEWE TUMIA MIMI SITAKI PESA YAKO🙅 NITALIPWA NA ULIMWENGU

1.Karafuu
2. Mdalasini
3. Limao
4. Swaumu
5. Pilipili manga
6. Tangawizi

Matumizi
Changanya sehemu Moja, twanga na uloweke kwenye maji ya uvuguvugu Kisha ndani ya saa 12 utapata fusion nzima.

Ukiamka asubuhi glass Moja Kisha jioni pata Tena glass ingine.

Fanya hivyo kwa siku 30.

Na kama upo kwenye ndoa utaipend
1738694307280.jpg
a hiyo
 
KABLA HUJAJARIBU HII KITU HAKIKISHA SURUARI YAKO INA ZIPU IMARA AU VIFUNGO VYA CHUMA.

NAONGEA NA WANAUME NA SIO WATOTO WA KIUME.

HII TUNATENGENEZA KITU INAITWA ELECTROLYTE WATER AU MAJI YA MSHAWASHO .

SIO GHARAMA NI KAMA JERO HIVI NA UNAJITIBU.

1. KUIMARISHA MISULI
2. KUONGEZA UWINGI WA SHAHAWA
3. KUONGEZA HAMU
4. KUBALANCE PRESSURE YA DAMU
5. KUCHANGAMSHA MISHIPA YA FAHAMU
6. VIDONDA VYA TUMBO
7. MAGOTI NA VIUNGO
8. CONSTIPATION (CHOO NGUMU)
9. SUKARI
10. VIDONDA SUGU
11. HEDHI ISIYO NA UTARATIBU
12. KIZAZI

KUANDAA.
1. KISANYA HIVYO VIUNGO VYOTE
2. TWANGA KWENYE KINU NA SIO BLENDER
3. WEKA KWENYE JAGI
4. WEKA MAJI GLASS 2
5. ASALI VIJIKO 3

IACHE KWA SAA 12 ILI UPATE FUSE KAMILI.

Baada ya hapo chukua maji vuguvugu nusu glass halafu changanya dawa Yako nusu glass asubuhi na jioni.

Mdogo wangu na kaka yangu ukinywa hii KITU bila stress utakuja kunishukuru baadaye.

Usinywe energy drink yeyote wakati unatumia hii. Tafadhali usinywe energy narudia.

Kama hujaoa tafadhali usiweke asali na pilipili manga. Chonde chonde mwanaone.

Kama una mchaichai weka majani 4 na utwange kwa pamoja na viungo vingine.

Kama unataka maziwa ya mtoto yatoke kwa wingi ongeza pilipili manga iwe kijiko kikubwa halafu utachangan
1738694434329.jpg
ya kwenye maji ya moto wakati wa kunywa.
 
KITUNGUU SAUMU KINA MSAADA UPI KWA WANAUME

Mda huu ngoja nikupe mbinu rahisi ya kuvikojo*** vitoto vya 2000 kirahisi kabisaa😅😅😅😅

Kitunguu saumu kina ALLICIN, kiambata kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.

Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini ni kuwa na viasili kadhaa ambavyo vina uwezo tofauti tofauti.

Baadhi ya viasili hivi husaidia kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation, kwa lugha ya kiingereza) kwa kubadilisha polysulphides zilizo ndani yake kuwa hydrogen sulphides kwenye seli nyekundu za damu.

Pia, kitunguu saumu husaidia kuthibiti kiwango cha kemikali iitwayo homocystine
mwilini na hivyo kupunguza madhara ya kisukari. Kitunguu saumu kina allicin , kiambato ambacho husaidia mwili kuwa na mzinguko mzuri wa damu hadi kwenye viungo vya uzazi.

Kuwa na damu ya kutosha katika uume husababisha hiki kiungo kusimama na hivyo kustahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu.

Jinsi ya kukitumia.
Asubuhi chukua punje nne hadi sita kisha meza kama unavyomeza vidonge kwa kusukumia maji au unaweza kutumia maziwa ya mtindi.... fanya hivyo pia kabla ya kulala.

N.B kitunguu saumu sishauri ukitumie kama wewe ni mgonjwa wa presha ya kushuka.

Pia kwa wanaume, ikiwa unahitaji kuwa unstoppable katika tendo la ndoa zingatia au ongezea hivi vitu kwenye ratiba yako ya siku ili uone utamu wa kuwa kidume zaidi
....View attachment 3225433

Hii inasemwa kwa kushusha blood pressure kweli?

Ndugu angu anatumia pamoja na dawa.
 
Back
Top Bottom