Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mmea ni majabu ya Mungu kwetu .

Mmea hapo kwenye picha :

🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo.
🥬Kikamba unaitwa Ithaa.
🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu.
🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu.
🥬Kimeru unaitwa Kirao au Murao.
🥬Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua.
🥬Kiiraq unaitwa Nkharerei.
🥬Kihehe huitwa Mulimuli.
🥬Kisambaa huitwa Mzangazi.

Kuhusu matibabu :

🥬 Huo mti hutibu magonjwa ya ini...
🥬Hutibu vidonda vya tumbo. Hutibu malaria, typhoid na ameba.
🥬Hutibu kisonono. Huondoa sumu zote mwilini na kupunguza mafuta.
🥬Mtidawa huu hushusha shinikizo la damu yaani presha ya kupanda.
🥬Hutibu chlamydia. Hutibu magonjwa ya mifupa. Magonjwa yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke hutibiwa na mti huu...
🥬Mti huu humwezesha mwanamke kushika ujauzito ikiwa hajakoma hedhi.Hii hufanyika kwa kuondoa uvimbe wowote kwenye mfumo wa uzazi, ini, bandama, figo, kusafisha kizazi, kurutubisha mayai na kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito

🥬 Mti huu hurudisha mzunguko wa hedhi na kuuweka uwe sawa ikiwemo kuondoa maumivu kipindi cha hedhi...
🥬Mti huu huondoa uvimbe wa aina yoyote ndani ya mirija ya uzazi, ovari, uterus au kizazi kwa muda wa wiki tatu tuu..

NAMNA YA KUTENGENEZA

🥬Chukua majani yake. Hakikisha huchanganyi na mbegu zake. Chukua majani tuu. Chukua mengi kadri uwezavyo. Yaanike mahali safi ndani, Yasambaze kabisa. Baada ya siku tatu kama mahali hapo pana joto la kutosha (hapo ndani na siyo nje kwenye jua) yatakauka.Saga ili kupata unga laini, Waweza kusaga hata kwa kufikicha tuu kwa mkono. Ni malaini na yanasagika kwa haraka mno ikiwa yamekauka vizuri. Waweza kusaga kwa kutumia brenda pia...

NAMNA YA KUTUMIA

🥬 Isipokuwa ugonjwa wa kisonono, tumia kijiko kidogo ndani ya maji ya moto nusu kikombe cha chai asubuhi na jioni kwa muda wa week mbili. Baada ya hapo, nenda ukapime hutaona kitu.

🫐Kumbuka: Mtidawa huu utakufanya uharishe kama mara tatu kila unapokunywa. Kadri tatizo linavyoendelea kuisha mwilini, kuharisha nako kunapungua na mwisho kupotea kabisa. WagonjwaView attachment 3225379
unaharufu kali mbaya. Ndo ilikuwa dawa ya homa aina zote kipindi hicho
 
FAIDA ZA LIMAO /KUNYWA MAJI YA LIMAO , NI NYINGI SANA NARUDIA KWA FAIDA YA WAGENI JAPO SITAZISEMA ZOTE ...

Lemon juice + water
Juisi ya limao na maji

KILA ASUBUHI HAKIKISHA KABLA KUFANYA CHOCHOTE UNAKUNYWA KINYWAJI HIKI

Hapo kuna malimao mawili ndani ya glasi ya maji .

Hiki ni kinywaji sahihi kuanza nacho Kila siku

Ukijenga tabia ya kunywa juisi hii utaona maajabu makubwa sana kwenye afya yako.ndani tu ya siku 30 ...

1.Huimarisha kinga ya mwili Kwa kuwa lina vitamin C

2.Husafisha utumbo mpana, huzuia constipation-Dietary Fiber

3.Hutibu malaria, kipindupindu, ni Antibacteria

4.Huweka sawa pH ya damu-Limao hufanya damu iwe alkaline, Kuongeza Damu Mwilini ..

5.Husaidia mmeng'enyo wa chakula-Husaidia/huchochea kuzalishwa kwa nyongo

6.Huzuia magonjwa ya moyo na presha ya juu ya damu-pH balance calcium, magnesium na potassium

7.Hutibu homa na mafua

8.Huondoa sumu mwilini-alkaline blood/pH balance

9.Hutibu arthritis na Rheumatism-Husafisha damu na huondoa uric acid

10.Huondoa mikunjo kwenye ngozi

11.Huondoa maumivu ya kuumwa na nyuki

12.Huboresha afya ya macho

13.Huzuia kuvuja kwa damu ndani ya mwili au puani

14.Huondoa makovu kwenye ngozi

15.Kisukari(Type 1 diabetes) hasa kwa watoto kwa heri

16.Cancer ya utumbo mpana kwa heri

17.Cancer yoyote kwa heri kama utakuwa na tabia ya kunywa maji ya limao

18.Kipindupindu kwa heri kama una tabia ya kunywa maji ya limao kila asubuhi

19.Soko la dawa za malaria litashuka kama watu watakuwa wanatumia maji ya limao

20.Kwa watu wenye maumivu ya magoti huweza kupata nafuu kwa kunywa maji ya limao tu na kusahau dawa za hospitalini.

21.Kwa kina dada warembo kwa kutumia limao tu wataepukana na vipodozi vyenye sumu kama Oxybenzone,Avobenzone

Escamule , Octocryclene Zinazosababisha kansa ili kungarisha ngozi zao..

Yaani usiende mbali sana, chukulia cancer, kisukari na malaria pekee....

Kama watu watapenda kutumia maji ya limao mara kwa mara kwenye maView attachment 3225392isha yao ina maana soko la dawa za cancer, kisukari na
Lemon
 
TUMIA JUISI YA VITUNGUU MAJI VIWILI PEKEE.

Mjukuu wangu endapo unatatizo mojawapo kati ya haya hapa chini usiende Kwa mganga kutafuta chawi soma Hadi mwisho.

1. Hutibu na kuyeyusha uvimbe wa aina yoyote mwilini (Ovarian Cyst na Fibroids).
2. Hutibu UTI SUGU, fangasi na P.I.D.
3. Hutibu kansa ya kizazi (Cervical Cancer).
4. Hutibu tatizo la tumbo kujaa gesi.
5. Huondoa sumu ya uzazi wa mpango mwilini.
6. Hutibu tatizo la kukosa hedhi kwa mda mrefu yaani kuhisi kama unaingia hedhi lakini haitoki.

Unachukua vitunguu maji viwili pekee unavimenya na kuvikatakata vipande vidogo vidogo unavisaga kwenye blenda/kinu au kisagio cha nyanya.

Tumia maji nusu lita na ukimaliza unachuja vizuri makapi unatupa unakunywa glass moja asubuhi na glass moja jioni kwa siku 30 mfululizo.

Ukimaliza tu kuiandaa unakunywa hapo hapo isikae mda mrefu bila kutumika na usitunze kwa ajiri ya baadae.

Usichemshe wala kuweka sukari.❌
Mwenye vidonda vya tumbo asitumie.❌
1738737249824.jpg
 
Naongea na wewe ambaye unasumbuliwa na:-

A:
1:Mgongo kuuma
2:kiuno kuuma
3:Magoti kuuma
4:Viungo vya mwili kuuma

B:
1😛ua zako zinaziba kutokana na mafua yasiyoisha
2:Ukila kitu husikii Radha yoyote
3:Ukinusa hauusikii harufu yoyote na kama unakumbukumbu hii hali iliwapata watu Hasa wakati WA Corona

Na huenda umeshapima ukaambiwa hawaoni UGONJWA wowote

Kwanza nikupe pole sana alafu nakuelekeza dawa ambayo ni suruhisho

1:Chukua Dafu

2:Lioshe

3:ONDOA hiyo ngozi ya kijani bakisha hiyo sponji sponji na uikwangue vizuri libakie like kokwa la ndani tuu

4:Chemsha hiyo sponji sponji (Makumbi ya Dafu) utapata juice nyekundu kama damu

Kunywa grass Moja Kila siku ndani ya wiki mbili utakua umepona kabisaaaaaaaaaaaa

Utu uzima dawa choteni maarifa saidieni wengine yangu ni
1738737673026.jpg
HAYO mjukuu wangu byeeeeeee
 
MOYO KUWA MKUBWA SABABU NA SURUHISHO LAKE

Mjukuu wangu sasaivi imekuwa kawada ukienda hospitali kuambiwa moyo umetanuka

Hii inatokana na kwamba tatizo Hilo kwasasa lipo Kwa wingi sana

Tatizo hili kiukweli huathiri utendaji kazi na usambazaji WA damu mwilini

MOYO KUWA MKUBWA ni hali inyosababishwa na ukinzani WA moyo jinsi unavyotoa na kuingiza damu kwenye MISHIPA ya moyo na kuisambaza sehemu mbalimbali za mwili

MOYO hutanuka kutokana na mazingira ya Kusukuma damu Kwa nguvu ya ziada tofauti na ya kawaida hivyo kusababisha misuli ya moyo KUONGEZEKA na kuharibika

Wakati mwingine moyo hutanuka Kwa kipindi kifupi kutokana na mgandamizo mwilini mwako mfano ujauzito

Wakati mwingine ni ongezeko la mafuta yaliyouzikira moyo Kila upande hivyo ukipimwa utaonekana na moyo mkubwa

Sasa ukiachana na sababu zingine leo naomba nikufundishe Njia rahisi ya kuondoa mafuta yaliyorundikana kuuzunguka moyo wako ili moyo ufanye kazi Kwa urahisi kabisa.

1:Chukua Dafu ONDOA Ile Ganda la nje la kijani vizuri kabisa

2:Kwangua zile nyuzi nyuzi zinazobaki (makumbi) Hadi ufikie kokwa lake

3:Tafuna Taratibu makumbi ya nazi uwe unameza maji yake na Yana maji yakutosha tuu

Tafuna Kwa kadri utakavyoweza angarau mara moja Kwa siku ndani ya siku 90 utakua umeondokana na tatizo la moyo KUWA MKUBWA na umemaliza mafuta yoooooote yaliyouzunguka moyo wako.

Tatizo hili kama hauna BIMA hospital kinatibiwa Kwa pesa kubwa sana

Vipimo tuu kutambua tatizo SI chini ya laki tatu madawa yake ni ZAIDI ya laki Tano

Kazi kwako sasa utumie gamba la Dafu(makumbi ya nazi) au upuuzie uje k
1738737721952.jpg
1738737723873.jpg
unyolewa mkwanja hospitali 😀
 
Mwezi wa 1 mwaka uliopita, kuna mtu alinitumia Tshs 50,000/= akapandishwa cheo kazini ,Rafiki yangu wa zamani akanitumia Tshs 75,000/= akashinda bahati nasibu ya Tatu Mzuka pesa nyingi sana,Mwingine akanitumia Tshs 100,000/= muda si mrefu akaolewa. Sikwambii unitumie hela ila fikiria baraka walizopata walionitumia hela baada ya hapo fanya maamuzi SAHIHI...

kazi kwako sasa mjukuu wangu
1738737820456.jpg
 
FOR LADIES ONLY 😅

Kwa Mwanamke ambaye anauhakika wakunengeuka na anahitaji Bae wake maji aite mma atafute vitu vifuatavyo

Hapa nazungumzia wanawake ambao wamesurubiwa na hormonal embarrasse au wamechoma madawa ya uzazi WA mpango yameharibu king'amuzi hakishiki Chanel zote

Tangawizi
Spinachi
Karoti
Tango
Maji kidogo haichujwi iyoooo inanywewa kama ilivyoooo

Baadae itakamuliwa limao naunaipiga yoteeee usiku sijui ndo dinner usile saana ukajakushindwa kunyumbulika vzr

Baada ya hapo nikujutoa tuu kama putin

Hii ni buster Inaongeza Nye********na 💪💪💪💪💪

Kama hujaelewa njoo mjengoni nikueleweshe vzr😅😅😅😅 Kuna mjukuu wangu namuandalia hii nimeona na n
1738737904209.jpg
yie niwaibie Siri
 
BORESHA MBEGU ZA KIUME ILI UKAMJAZE UJAUZITO HUYO ANAEKUITA NYUKI WA MASHINENI😅😅😅😅😅

Kama una dalili hizi hapa

👉Unatoa mbegu za kiume nyepesiiiiiiiii kama maji ya Dasani

👉Bastora Yako inawahi kutoa risasi na huwezi kuikoki fasta kushambulia Tena

👉Hauna nguvu za kumtoa kamasi HUYO mtoto WA mama mkwe

👉Na mengine yanayofanana na HAYO basi ujue una shida mjukuu wangu

Mwanaume | Unahitaji sana Madini Ya Zinki hasa kama unaona mambo ya chumbani hayaendi vizuri,

Unaweza kuandaa hii lishe kama una brenda

Mahitaji ni Karanga Mbichi, Almonds, Korosho, Mbegu za maboga na Tende (tupa mbegu ubakize maganda yake)

Nafaka hizi zina madini ya zinc kwa asilimia zaidi ya 70%

Chukua viambata vyote hivyo, saga vyote kwa pamoja kwenye brenda kisha utaweka maziwa fresh.

Usiongeze sukari wala Asali.

Tumia glass moja kila siku jioni baada ya Mazoezi ya Kegels.

Hapo lazima HUYO mtoto WA mama mkwe akimbie kitandani ajasimulie magori kwa mashost

Hata kama anachoma sindano za uzazi WA mpango akizubaa kdg 🫄🫄🫄🫄 inapenya

Mabadiliko utayapata baada ya siku 15 Tu.

Muhimu mwanaume punguza matumizi ya sukari nyingi katika milo au vinywaji, wacha matumizi ya pombe, sigara na vyakula vyenye mafuta mengi

Rudisha heshima ya ukoo w
1738738014817.jpg
enu mpe mimba tuu nidhamu itarejea
 
KAMA UNA DALILI HIZI BASI UJUE UNA REHEMU (Cholesterol) KATIKA MISHIPA YAKO YA DAMU MJUKUU WANGU

1:Ngazi mwilini Hasa maeneo ya pembezoni ya mwili

2:Kupooza mwili

3😛resha ya kupanda

4:Kichwa kuuma saaaana pasipo kuumwa UGONJWA wowote

5:Moyo kukosa utulivu unadunda Kwa nguvu mara moja Moja

REHEMU ni mafuta yaliyojitengeneza mithili ya tope katika mishipa Yako Yako ya damu

Inaathari ya kuharibu mzunguko wako WA damu na kiwango kinacho hitajika ktk baadhi ya maeneo Yako ya mwili kuwa kdg

Chukua punje nne za vitunguu swaumu mjukuu wangu vitwange vzr

Chukua limao lioshe vzr Kisha menya maganda yake yatwange au saga kwenye blenda

Chukua kijiko kimoja Cha chakula Cha maganda HAYO mix na vitunguu swaumu pamoja

Weka mchanganyiko Huo kwenye kikombe chenye maji ya moto
1738738044014.jpg

Tulia dakika 10 Kisha kunywa asubuhi kabla hujala chochote

👉Hii hutibu presha ya kupanda

👉Husaidia kuyeyusha mafuta mwilini

👉Kupunguza uzito

Fanya hivyo endapo tuu huna presha ya kushuka

Usipopona Niite mbwa
 
KUOZA AU KUTOBOKA KWA MENO UFUMBUZI WAKE UMEPATIKANA MJUKUU WANGU

Wangapi wamewahi tumia mswaki WA mti?

Wangapi wanaujua mti unaitwa Mchikili?

Ebu soma hii itakusaidia.

Kuoza, kutoboka ama kuharibika kwa meno (Kitaalamu hujulikana Dental Caries), ni tatizo ambalo husababisha meno kumomonyoka na kutengeneza shimo ama kubadilika rangi kuwa kama rangi ya chaki, kijani kibichi hadi nyeusi.

Hali hii hutokana na shughuli za vimelea vya Bakteria na huanza taratibu na kuongezeka siku hadi siku na huweza kuathiri jino lolote lile, lakini hujitokeza sana kwenye meno ya nyuma (Magego).

Hali hii inaweza kutokea kwa mtu yeyote na kwa umri wowote, isipokuwa watoto ambao hawajaota meno

Nini kinasababisha meno kuoza?

👉Kinywani kuna Bakteria wasiokuwa na madhara. Bakeria hawa humeng’enya mabaki ya vyakula mdomoni haswa vyakula na vinywaji vyenye sukari nyingi na matokeo yake huzalisha tindikali (asidi) kwa wingi kinywani. Tindikali hii huyeyusha na kumomonyoa na kuharibu madini yanayopatikana kwenye sehemu ya nje ya jino inayoitwa “Enamel” na hatimaye kutengeneza uozo (shimo) kwenye meno.

👉Usafi hafifu wa kinywa na meno na kusababisha mabaki ya chakula kukaa muda mrefu kinywani.

👉Upungufu wa mate mdomoni, kutokana na ugonjwa wa kisukari, Sjogren’s Syndrome kupumua kwa mdomo kwa muda mrefu na upungufu wa maji mwilini kwa muda mrefu ama kutokunywa maji ya kutosha.

Dalili za meno kuoza

👉-Meno kupata ganzi.
👉-Maumivu ya meno wakati wa kula vyakula vya baridi ama vya moto, na wakati wa usiku hali ambayo inaweza kusababisha ukose usingizi.
👉-Jino (Meno) kuwa na shimo.
👉-Kuwa na rangi nyeusi kwenye jino (meno) husika.

Matibabu kwa jino lililotoboka.

Watu wengi hukimbilia kung’oa meno yaliyotoboka. Lakini ukweli ni kwamba kuna njia nyingi ambazo zinaweza kutibu jino lililotoboka kabla halijafikia hatua ya kung’oa.
Baadhi ya njia hizo ni pamoja na:

👉Kuziba kwa dawa ya muda mfupi (Temporary filling).

👉Kuziba kwa dawa ya muda mrefu (Parmanent filling).

👉Kutibu mzizi wa jino (Root Canal Treatment).

👉Kukata ncha ya mzizi wa jino (Apicectomy).

👉Kuondoa kiini cha jino (Pulpotomy).

👉Kung’oa jino lililoharibika vibaya sana.

Nifanye nini kuzuia meno kuoza?

Hili swali nitalijibu kesho jioni hakuna haja ya kunywa maji ya upako Wala kupaka mafuta ya upako nitawaletea miti ya asili ambayo ukiitumia vzr swala la meno ni historia

Babu yenu Hadi nafikia Umri huu sijawahi pata shida ya meno Wala macho

Miti ni tiba na Suruhu ya kudumu Kwa AFYA ZETU

1738738150367.jpg
 
TUMIA JUISI YA VITUNGUU MAJI VIWILI, TANGAWIZI MOJA, VITUNGUU SWAUMU PUNJE 10 NA ASALI KIJIKO KIMOJA.

Baada ya hekaheka zilizokuwepo wiki hii Dodoma na Dar es salaam sasa nawaletea kinywaji tiba ili watu mjiweke fit soma hapo chini mjukuu wangu

Unachukua vitunguu maji viwili, unaweka vitunguu swaumu punje 10, na tangawizi kipande kimoja.

Unakatakata vipande vidogo vidogo unablend kwa pamoja kwa kutumia nusu lita ya maji.

Ukimaliza unachuja unabakiwa na juisii yenyewe glass moja.

Kabla hunainywa unaweka asali kijiko kimoja ndo unakunywa kila siku mchana.

KWANINI UTUMIE JUISI HII ANGALAU MARA 3 KWA WIKI?

1. Hutibu P. I. D sugu (uchafu ukeni).
2. Husafisha kizazi.
3. Hutibu fangasi/miwasho ukeni.
4. Hutibu tatizo la mimba kuharibika.
5. Hutibu tatizo la bawasiri (kupata choo kigumu au kuota kinyama njia ya haja kubwa).
6. Hupunguza uzito na kitambi.

Kama unatatizo mojawapo kati ya HAYO sita au huna Hata Moja ila unahitaji KUJIWEKA sawa t
1738738208148.jpg
umia mchanganyiko huu
 
MTOTO AKIULILIA WEMBE MPE TUU

Andaa Tangawizi kubwa 2, Vitunguu saumu punje 15 hadi 20, Iliki kijiko 1 na Mdalasini Vijiko Viwili

.Twanga viungo hivi kwa pamoja mpaka vilainike vizuri

.Changanya kwenye maji lita moja ya maji kisha bandika jikoni mpaka yachemke

.Ikishachemka ipua, subiri ipoe, kamulia limao 2 mpaka 3 kutegemea na ukubwa wake

. Chuja na utunze kinywaji chako kwenye chupa, utakuwa ukinywa kidogo

Ni dawa ya kuongeza kinga ya mwili, kutoa sumu na magonjwa nyemelezi ila ni dawa tosha ya kuongeza nguvu za kiume

Kama huwa unakoswa hisia, uume legelege au unashindwa kufanya vizuri katika tendo la ndoa basi hiki kifanye kuwa kinywaji chako cha mara kwa mara ndani ya siku 7 utaanza kuona mabadiliko na utaamua kuendelea au kuacha ila ni dawa tosha ya nguvu za kiume na vitu vingi tu

Kuna wale ambao tumejichua sana kiasi cha kupelekea uume kunywea, kusinyaa na kurudi ndani kuwa kama wa mtoto. Unaweza kutumia mafuta ya zeituni, kila asubuhi ukawa unaunyoosha na kuuvuta uume wako kwa kutumia mafuta hayo, yatakusaidia kuinyanyua misuri ya uume iliyodhoofu kwa sababu ya kupiga punyeto, chango au ngiri kama uliwahi kuwa nayo.
1738738271161.jpg
 
VITU VYA KUSHANGAZA NILIVYOKUTANA NAVYO MWAKA 2010 HOSPITALINI

Mimi ni mtu ambaye ninadadisi saana vitu sasa nilipangiwa kazi mkoa mmoja ambao sitautaja kwenye hospitali ya mkoa huo

Nilipo fika nishangazwa na jambo Moja Ile hospitali kulikuwa na paka WENGI saaana pia kulikua na mti mmoja una bundi pia usiku walikua wanalia mmoja mmoja Hadi utulize kichwa ndio uwasikie

Jambo Hilo lilinishangaza mno nikaanza kufuatilia Kwa ukaribu hao paka wanaishi wapi, wanakula nini, wanafugwa au wapo tuu

Baada ya siku kama nne nikagundua ene furani ndani ya hospital kulikua na mti mkubwa Huo mti ndio ulikua una bundi na Kila siku usiku majira ya saa Saba usiku paka walikua wakikutana pale WENGI sana

Sasa siku Moja ilikua J tatu nimeitwa wodi ya wanaume kulikua na mgonjwa amezidiwa alihitaji msaada WA dharula nilipo ingia nilimuona paka mweusi chini ya kitanda Cha mgonjwa nikamfukuza akatoka

Baada ya dakika chache yule mgonjwa aliaga Dunia, mda mchache baadae paka yule alirudi kwenye kitanda namba mbili nikamfukuza Tena haikupita mda mgonjwa akazidiwa akafariki

Baada ya kama dakika Saba alirudi akaingia kwenye uvungu WA kitanda kinachofuata no 3 niliitwa na ndugu WA mgonjwa tukamfukuza haikupita mda mgonjwa akazidiwa akafariki Tena iliendelea hivyo Hadi akafika kitanda namba 5 NAE akafariki

Mgonjwa aliekuwa kitanda namba 6 kabla paka hajarudi aliinuka akaja ofisini akaomba ruhusa arudi home kitendo hicho ni kama kilimuokoa maana alivyoondoka tuu paka alirudi akaingia chini ya kitanda namba Saba na baada ya nusu saa mgonjwa akazidiwa akafariki

Siku hiyo naikumbuka Hadi leo kwani ni siku ambayo nilishuhudia vifo vingi na wagonjwa waliokua wanebakia bila kujali hali Zao Waliomba ruhusa wakaondoka wote na walioondoka walisalimika

Jambo Hilo lilinifanya niwe nawaswas dhidi ya paka WA hospitalini japo sikua na ushahudi au uhakika kuwa vifo vile vilitokana na ziara ya paka yule mweusi

Tulikaa kikao nikushauri ule mti mkubwa wanapokutana Kila siku ukatwe na ulikatwa

Nini kimekushangaza,? Duniani Kuna MENGI ya KUSHANGAZA

Ukisikia kua uyaone sio Magorofa.
1738738532688.jpg
 
Back
Top Bottom