Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 2,278
- 3,960
Miti shamba.Ya aina gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miti shamba.Ya aina gani mkuu
Miti shambaYa aina gani mkuu
Nina mana ni minyoo ya aina ganiMiti shamba
Pata mchanganyiko huu Kama juisi tumia kunywa asubui na jioni
Kutibu mishipa .kusafisha damu .na kuwa na nguvu tunasema eshima ya ndoa
Wee mzee; unataka kuharibu biashara za watu? Hao jamaa - Taasisi ya saratani ya Marekani ndo wenye yale maviwanda makubwa ya kutengeneza madawa ya kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu na mifugo (The Big Pharmacies) na wameajiri watu (Wataalam) wengi. Hiyo dawa wakiitangaza ilhali wanajua mmea huo unapatikana kirahisi, matokeo yake si wataua biashara yao?.MSTAFELI NA UGONJWA WA UKOMA PAMOJA NA SARATANI MBALIMBALI
View attachment 3225384
Juisi ya tunda la mti huu hutumika kutibu
Ukoma (leprosy).
Majani haya ya mstafeli yamethibitika siyo kutibu
saratani au kansa ya tezi dume bali na aina
nyingine za saratani zaidi ya 12 ambazo ni
pamoja na:
1. Saratani ya damu
2. Saratani ya matiti
3. Saratani ya mlango wa kizazi
4. Saratani ya mapafu
5. Saratani ya ini
6. Saratani ya mdomo
7. Saratani ya kwenye ulimi
8. Saratani ya kongosho
9. Saratani ya kwenye mji wa uzazi
10. Na sratani nyingine nyingi.
Majani ya mstafeli ni dawa nzuri dhidi ya bakteria na fangasi mbalimbali mwilini na hivyo ni kinga dhidi ya maambukizi ya kila namna.
Majani ya mstafeli yanatibu pia:
1. Kisukari
2. Gout (maumivu ya jongo)
3. Maumivu ya mgongo
4. Yanaongeza kinga ya mwili
5. Yanaimarisha afya ya tumbo kwa ujumla
6. Kufunga choo
7. Msongo wa mawazo (stress)
8. Yanaimarisha afya ya nywele
9. Yanaimarisha afya kwenye mfumo wa upumuwaji
10. Yanaongeza afya ya ngozi
11. Mazuri kwa afya ya moyo
12. Yanadhibiti homa na kutuliza joto la mwili
13. Dawa nzuri kwa matatizo mengi ya uzazi
14. Huongeza stamina ya mwili na kurahisisha kupona haraka unapokuwa mgonjwa
15. Hutibu jipu na vivimbe
16. Hudhibiti ukuwaji wa bakteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe
17. Ni tiba ya asili ya maumivu ya mishipa, yasage majani yake mpaka yalainike kabisa kisha paka taratibu eneo la mshipa lililo na maumivu mara 2 kwa siku
Dawa kubwa ya saratani ambayo watu wengi hawaifahamu …
Kuna wakati namtafakari Mungu na nashindwa kupata majibu kwamba kuna wakati watu wanateseka sana lakini bila sababu yoyote maalumu zaidi ya kukosa tu maarifa Kile nitakushangaza kidogo hapa ni kuwa uwezo huu wa majani ya mstafeli kutibu kansa uligundulika tangu mwaka 1976 na taasisi ya saratani ya Marekani lakini matokeo yake hayajawahi kuwekwa hadharani kwa watu!
Kwanini hawakutaka kutangaza kwa watu?
Hakuna mtu anayejuwa kwa hakika sababu ni nini iliyowafanya wabaki na matokeo
Na ndo mana hata dawa za kutibu kabisa HIV tunashindwa kuzitangaza rasmi sababu ya mavitu kama Aya mkuuWee mzee; unataka kuharibu biashara za watu? Hao jamaa - Taasisi ya saratani ya Marekani ndo wenye yale maviwanda makubwa ya kutengeneza madawa ya kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu na mifugo (The Big Pharmacies) na wameajiri watu (Wataalam) wengi. Hiyo dawa wakiitangaza ilhali wanajua mmea huo unapatikana kirahisi, matokeo yake si wataua biashara yao?.
Exactly Yes. Hiyo ni vita. Mtu (viwanda) hawatokubali kunyang'anywa tonge mdomoni. Wako tayari kukupoteza kwa gharama yoyote ile watakufanyia fitna, mizengwe hata ikiwa ni kuutwaa uhai wako. Walishawafanyia brainwash wataalam wetu wa ndani na ndo mana utasikia: "Ni za kishenzi; ni ushirikina, hazina vipimo wala viwango, hazijathibitishwa kitaalam, unazitumia at your own risk n.k n.k."Na ndo mana hata dawa za kutibu kabisa HIV tunashindwa kuzitangaza rasmi sababu ya mavitu kama Aya mkuu
Kabisa mkuuExactly Yes. Hiyo ni vita. Mtu (viwanda) hawatokubali kunyang'anywa tonge mdomoni. Wako tayari kukupoteza kwa gharama yoyote ile watakufanyia fitna, mizengwe hata ikiwa ni kuutwaa uhai wako. Walishawafanyia brainwash wataalam wetu wa ndani na ndo mana utasikia: "Ni za kishenzi; ni ushirikina, hazina vipimo wala viwango, hazijathibitishwa kitaalam, unazitumia at your own risk n.k n.k."
Unafanana na mti unaoitwa Mgalula au ndo wenyewe?Mmea ni majabu ya Mungu kwetu .
Mmea hapo kwenye picha :
🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo.
🥬Kikamba unaitwa Ithaa.
🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu.
🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu.
🥬Kimeru unaitwa Kirao au Murao.
🥬Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua.
🥬Kiiraq unaitwa Nkharerei.
🥬Kihehe huitwa Mulimuli.
🥬Kisambaa huitwa Mzangazi.
Kuhusu matibabu :
🥬 Huo mti hutibu magonjwa ya ini...
🥬Hutibu vidonda vya tumbo. Hutibu malaria, typhoid na ameba.
🥬Hutibu kisonono. Huondoa sumu zote mwilini na kupunguza mafuta.
🥬Mtidawa huu hushusha shinikizo la damu yaani presha ya kupanda.
🥬Hutibu chlamydia. Hutibu magonjwa ya mifupa. Magonjwa yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke hutibiwa na mti huu...
🥬Mti huu humwezesha mwanamke kushika ujauzito ikiwa hajakoma hedhi.Hii hufanyika kwa kuondoa uvimbe wowote kwenye mfumo wa uzazi, ini, bandama, figo, kusafisha kizazi, kurutubisha mayai na kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito
🥬 Mti huu hurudisha mzunguko wa hedhi na kuuweka uwe sawa ikiwemo kuondoa maumivu kipindi cha hedhi...
🥬Mti huu huondoa uvimbe wa aina yoyote ndani ya mirija ya uzazi, ovari, uterus au kizazi kwa muda wa wiki tatu tuu..
NAMNA YA KUTENGENEZA
🥬Chukua majani yake. Hakikisha huchanganyi na mbegu zake. Chukua majani tuu. Chukua mengi kadri uwezavyo. Yaanike mahali safi ndani, Yasambaze kabisa. Baada ya siku tatu kama mahali hapo pana joto la kutosha (hapo ndani na siyo nje kwenye jua) yatakauka.Saga ili kupata unga laini, Waweza kusaga hata kwa kufikicha tuu kwa mkono. Ni malaini na yanasagika kwa haraka mno ikiwa yamekauka vizuri. Waweza kusaga kwa kutumia brenda pia...
NAMNA YA KUTUMIA
🥬 Isipokuwa ugonjwa wa kisonono, tumia kijiko kidogo ndani ya maji ya moto nusu kikombe cha chai asubuhi na jioni kwa muda wa week mbili. Baada ya hapo, nenda ukapime hutaona kitu.
🫐Kumbuka: Mtidawa huu utakufanya uharishe kama mara tatu kila unapokunywa. Kadri tatizo linavyoendelea kuisha mwilini, kuharisha nako kunapungua na mwisho kupotea kabisa. WagonjwaView attachment 3225379
Kongole mkuu. Huu mmea; aisee ni mwisho. Unajiotea hovyo huku mashambani hadi inakuwa ni kero i.e. magugu. Ila kipindi cha COVID 19 tuliuheshimu mno.KIVUMBASI.
Mmea Mdogo Wenye Mambo Makubwa: Utumie kama chakula dawa ili uepuke kutumia dawa kama chakula!*
1. Huu mmea umesambaa Afrika nzima kwa majina tofauti:
Kanda ya Ziwa unaitwa Lumbalumba,
Nyanda za Juu Kusini wanauita Mnunganunga, Kilimanjaro wanauita Mnyenye,
Tanga ni Luvumbampuku,
Wahaya na Wanyambo wanauita Kashwagara, Kenya ni Kivumbani,
Uganda Mjajanuka,
Burundi agacaruzo,
Kongo Tolumbalumba,
Malawi Kavavumba,
Comoro wanauita Nkadi
na wengine wanauita Mwinula yaani uinuliwe.
2. Tumia huu mmea kama chai kila siku, au tafuna tu majani yake, au weka hata kwenye mboga, gonga, faida zake ni nyingi!
3. Wasukuma wanauitumia kutibu chango za watoto wadogo. Wanyambo hutumia kutibu tumbo linalovuruga na kuuma mara kwa mara).
4. Wazee ukiwa unatumia huu mmea kama kinywaji utasahau homa zote, mafua yote.
5. Ni mmea wenye nguvu ya kimungu. Wahindi na Bara la Asia wameupa heshima kubwa.
6. Wanauita Sacred plant (Mmea Mtakatifu), Mother Medicine of Nature (Mama wa Dawa za Asili), The Queen of Herbs (Malkia wa Mitishamba), The Incomparable One (Hakuna Mmea wa Kuulinganisha Nao).
7. Mmea huu ni tiba ya kifua, kata majani yake, tafuna. Unavidonda vya koo? Chukua majani yake, chemsha, sukutua imeisha.
9. Unastress, unaonekana kuchanganyikiwa, chukua majani hata 15, tafuna utarelax.
10. Kwa matatizo ya meno, harufu mbaya ya kinywa na fizi kutoa damu, kausha majani yake, twanga, tumia unga kupigia mswaki.
11. Una mafua makali? Chuma majani yake, yafikiche, weka puani baada ya dk 15 utapiga chafya sana, mafua kwaheri.
12. Ni dawa nzuri ya kufukuza mbu. Ng’oa nzima nzima na mizizi yake, weka ndani, mbu wanakimbia. Au pia choma majani yake kwenye moto, mbu kwaheri.
13. Kiboko ni hii hapa, chukua majani ya kivumbasi, weka kwenye ndoo ya maji, fikinya humo, oga, mwili unakaa sawa..
14. Muogeshe hata mwanao kabla ya kulala uone usingizi mtamu atakaopata. Jifukize pia utaona maajabu yake.
15. Maumivu ya hedhi, hedhi haitoki kwa wakati na ikitoka inatoka kwa muda mrefu? Chukua majani yake, fikicha kwenye maji, hakikisha maji yanadilika rangi, kunywa mara tatu kwa siku kwa muda wa siku tatu kisha leta ushuhuda mbuzi nile.
16. Tiba Ya Miguu Kuwaka Moto
Chukua majani ya mti wa Mvumbasi, unguza pamoja na majani ya mti wa mnungunungu, halafu changanya na mafuta ya taa lita moja. Matumizi: Utakuwa unatumia kujichua kwenye miguu kutwa mara tatu kwa muda wa siku thelathini.
17. Lakini pia Wazee wanasema ni dawa nzuri sana ya kuondoa gesi tumboni.
18. Kama vipi, fanya kivumbasi kuwa chai yako ya kila siku, au hata juisi. Hakuna hasara. Faida ni nyingi.
19 . Hutumika kwa magonjwa ya ini, moyo na mishipa ya damu. Huua virusi vya hepatitis vyote.
20 Kwa mtu anayesumbuliwa na tumbo la hedhi upate unga wa majani tumia kwenye maji moto ni tiba nzuri mara mbili kwa siku
21. Hutibu ugonjwa wa red eye Chemsha mvumbasi changanya na majani ya mbaazi hadi maji yawe ya kijani, acha ya poe baada ya hapo nawia uso kutwa mara tatu kwa siku tatu utakaa poa
22. Kwa wanaume Chukua majani ya mvumbasi +mchai chai + Tangawizi (kata vipande) + mdalasini .. Chemsha huo mchanganyiko na ndio iwe chai yako daima usiweke sukari , Msumari wako utasoma namba.
23 . Tiba kwa mtu aliyeingiwa utomvu wa minyaa chukua mbegu zake ukipikicha na kuziweka machoni .. utomvu wote wa mnyaa utakusanywa na kutolewa nje ya macho
24. Pia kama wewe ni mfugaji wa nyuki basi mmea huu hutumika kuhamishia nyuki kupeleka sehemu nyingine unayoitaka wewe
25. Pia kama unaishi mazingira yenye mbu tumia huu mmea kufagilia uwanja , Mbu wataondoka wote , au kata mmea weka dirishani , Aisee mbu na harufu ya mmea huu n maadui sana .. utalala unono
26. Kama wewe ni Mtalamu wa Kujamba sana, tumbo kujaa gesi tumia mmea huo chemsha kunywa glas moja mara mbili kwa siku
27. Tiba ya wagonjwa wa degedege
28. Kama Unajisikia homa chuma mmea huo , Chemsha kunywa mara mbili na kuogea utapona kabisa
29. Kama unasumbuliwa na vidonda vya koo, macho, kichwa, mafua, kifua, figo chukua majani tengeneza juice kunywa glasi moja asub na Jion
30. kama kuna kuku wanaumwa umwa sana we chukua ayo majani na miti yake fanya kama fagio na ufagie mahala wanapo lala, Angalizo kuku wa mienyeji sio hawa wa kizungu .
31. Kama una shida ya kupumua tafuta huu mmea kisha safisha chemsha kunywa mara mbili kwa siku kwa mda wa siku 14.
32. una pressure ya juu chumua mmea mzima chemsha kunywa mara mbili kwa siku 14 hadi 21 nenda kapume.
33Kama unataka kutunza ngozi yako basi majani yake yafanye yawe ndio majan y chai yako kila siku
ZIPO FAIDA NYINGI SANA KATIKA MMEA HUU NDIO MAANA HUITWA HOLY BASIL (Mmea Mtakatifu).
Ngoja Nimalizie
34. mbengu zake ni dawa nzuri sana ya watu wanaotoka damu puani unachukua unanusa tu hutapata huo ugonjwa tena
35. kama una kikohozi chukua majanj yake na majani ya mbaazi tafuna kwa pamoja siku tatu nyingi .
By Dr dogoli kinyamkela ☠️💀
Kabisa mkuuKongole mkuu. Huu mmea; aisee ni mwisho. Unajiotea hovyo huku mashambani hadi inakuwa ni kero i.e. magugu. Ila kipindi cha COVID 19 tuliuheshimu mno.
Aisee! Huu mmea kweli ni mchungu kuliko maelezo. Huku vijijini hutumika kama wigo(Fence) ila kwa kweli ni mchungusana ukitafuna.Ukiwa na huu mmea huo kwenye picha ujue una dawa ya kikohozi na UTi kwa wakati mmoja!
■■ Wengine huita Kibwelabwezi
■■ wengine Mlavumba
●● Ukiwa na kikohozi sugu
Chuma hayo majani, tafuna na kipande cha muwa ili kupunguza makali/uchungu wa hiyo dawa
Ukitafuna unahisi hadi masikio yanapika kelele za shangwe
●● Kwa magonjwa ya mfumo wa mkojo kama UTI, Chango , kisonono, uvimbe kwenye mfumo wa mkojo
Pika chai ya haya majani
Kunywa mara 3 kutwa
●● Kuongeza Nguvu za Kiume
Tafuna jani 1 kila siku kwa siku 14
●● Pia Ni Tiba kwa Presha ya kupanda ..
●●Na ni Tiba ya Malaria, Matumizi yake chemsha kunywa Mara tatu
Note: kwa Mtu mwenye pressure ya kuView attachment 3225397shuka asitumie hii
Waw! Sasa ngoja nifanye majaribio ya awali kwako - utakoma bwashee. Hahahaa.Mtandike MTU mwenye nyodo Kila mda anakufuatilia una ata amani vibaya anakufanyia Sasa Leo nakupa iii kitu mtie vichomi Kila akikuongelea tu nyuiiiiii akikuona tu nyuiiiii Yan lazima akome 👺👺
Naam mashine ya kusaga Na kupepeta inapepeta Kila kitu kigongo atar icho
Tafuta ndimu saba utachomeka Na sindano saba
Tafuta tunda za ndulele utachomeka pia sindano saba
Tafuta chungu kipya kikumbwa mtama robo ufuta Na uwele utachanganya vyote Na kibeliti upele sembe makata alititi Na sembe ya mti ulio pigwa Na radi
Utachanganya vitu vyako vyote utaweka chungu kipate moto anza kukaanga uku ukiweka vitu vyako weka manuizi kama nilivyo kuambia ni kombola lakumtia mtu vichomi utatia Nia zako paka vitu vyote viungue ukimaliza nenda kakipige njia panda icho chungu chako aiseee aipiti wiki utaon mtu kabadili mwendo wa kutembea😄😄😄
Maninaaa😜😜😜
Mkuu chunga tu usije ukajutia ilo wengi ne tumekaa kishali shali ukitujaribu tu sisi tunaluka na wewe kweli 😂😂😂Waw! Sasa ngoja nifanye majaribio ya awali kwako - utakoma bwashee. Hahahaa.
EH! Basi bhana yaishe mkuu. Endelea kutupatia na mengine kadri nafsi yako itakavyokuruhusu. Natanguliza shukran.Mkuu chunga tu usije ukajutia ilo wengi ne tumekaa kishali shali ukitujaribu tu sisi tunaluka na wewe kweli 😂😂😂