Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
- Thread starter
- #141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua majani ya kivumbasi yaponde kisha kamua Maji yake utajipaka kichwani shida hii itaisha Inshaallahkwa mwenye maradhi ya kipanda uso
•PRESHA YA MAJINI yani wale wako na presha hadi 200 halfu wanafagia na kupikachukua majani ya kivumbasi na ndimu ambayo iko vilevile haijakatwa utachemsha pamoja utakuwa unakunywa kwa ujazo wa kikombe kidg cha chai kutwa ×2 siku 3
Hii 👆 👆nzuri sana mkuu.kivumbasi
Chukua majani ya kivumbasi yaponde kisha kamua Maji yake utajipaka kichwani shida hii itaisha Inshaallah
•Kubanwa na kifua au shida ya upumuaji
•PRESHA YA MAJINI yani wale wako na presha hadi 200 halfu wanafagia na kupika
Chukua majani ya kivumbasi na punje za vitunguu thaumu punje 11 au 21 utasaga kwenye Brenda kama juice kisha utaichuja kama utakuwa ni mtu wa imani ya kiislam isomee dawa hii aya za ruqya kam unaweza LA sio muislam basi utakunywa hivyo hvyo na hakuna tabu
Tumia glass asubh na nyngine jioni siku3View attachment 3232556

Tuko pamoja sana mkuu,pia nawakalibisha jijini wasap Kuna mengi yanaendelea uko zaidi ya apaHii 👆 👆nzuri sana mkuu.![]()
SawsMmea ni majabu ya Mungu kwetu .
Mmea hapo kwenye picha :
🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo.
🥬Kikamba unaitwa Ithaa.
🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu.
🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu.
🥬Kimeru unaitwa Kirao au Murao.
🥬Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua.
🥬Kiiraq unaitwa Nkharerei.
🥬Kihehe huitwa Mulimuli.
🥬Kisambaa huitwa Mzangazi.
Kuhusu matibabu :
🥬 Huo mti hutibu magonjwa ya ini...
🥬Hutibu vidonda vya tumbo. Hutibu malaria, typhoid na ameba.
🥬Hutibu kisonono. Huondoa sumu zote mwilini na kupunguza mafuta.
🥬Mtidawa huu hushusha shinikizo la damu yaani presha ya kupanda.
🥬Hutibu chlamydia. Hutibu magonjwa ya mifupa. Magonjwa yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke hutibiwa na mti huu...
🥬Mti huu humwezesha mwanamke kushika ujauzito ikiwa hajakoma hedhi.Hii hufanyika kwa kuondoa uvimbe wowote kwenye mfumo wa uzazi, ini, bandama, figo, kusafisha kizazi, kurutubisha mayai na kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito
🥬 Mti huu hurudisha mzunguko wa hedhi na kuuweka uwe sawa ikiwemo kuondoa maumivu kipindi cha hedhi...
🥬Mti huu huondoa uvimbe wa aina yoyote ndani ya mirija ya uzazi, ovari, uterus au kizazi kwa muda wa wiki tatu tuu..
NAMNA YA KUTENGENEZA
🥬Chukua majani yake. Hakikisha huchanganyi na mbegu zake. Chukua majani tuu. Chukua mengi kadri uwezavyo. Yaanike mahali safi ndani, Yasambaze kabisa. Baada ya siku tatu kama mahali hapo pana joto la kutosha (hapo ndani na siyo nje kwenye jua) yatakauka.Saga ili kupata unga laini, Waweza kusaga hata kwa kufikicha tuu kwa mkono. Ni malaini na yanasagika kwa haraka mno ikiwa yamekauka vizuri. Waweza kusaga kwa kutumia brenda pia...
NAMNA YA KUTUMIA
🥬 Isipokuwa ugonjwa wa kisonono, tumia kijiko kidogo ndani ya maji ya moto nusu kikombe cha chai asubuhi na jioni kwa muda wa week mbili. Baada ya hapo, nenda ukapime hutaona kitu.
🫐Kumbuka: Mtidawa huu utakufanya uharishe kama mara tatu kila unapokunywa. Kadri tatizo linavyoendelea kuisha mwilini, kuharisha nako kunapungua na mwisho kupotea kabisa. WagonjwaView attachment 3225379
Computer yangu inazingua ila ngoja nitatumia simu peke yake nione itakuwaje.Tuko pamoja sana mkuu,pia nawakalibisha jijini wasap Kuna mengi yanaendelea uko zaidi ya apa
Computer yangu inazingua ila ngoja nitatumia simu peke yake nione itakuwaje.
Tupo pamoja sana mkuu kalibu sanaUzi murua kabisa.. ahsantee kwa elimu hii mkuu
🙏🏽🙏🏽Uzi mzuri sanaa, ubarikiwe mnoo.
Nimepata tiba ya tatizo langu, [emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app