Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
- Thread starter
- #161
MFUMO WA UMEME WA UUME WA MWANAUME.
Kwenye kielelezo picha ni mchoro wa mfumo wa umeme wa Uume wa Mwanaume hii ndo heshima ya Mwanaume na ndo System inayomuwezesha SELEMANI kumtaka B-AISHA wake.
Sasa basi fahamu kuwa👇
Huu ndio mfumo wa UMEME ambao Wanaume wengi hawaujui kama wanao SWITCH ya huu mfumo ipo kwenye UBONGO nakushitua ujue na kufahamu.
Ndio maana ili upate hisia za mapenzi lazima ubongo uwe free kwa maana ubongo huwa unahitaji nafasi ya kuwa huru usibughudhiwe.
Mwanaume hupaswi uwe na msongo wa mawazo ( Stress ), Ni ngumu sana huu mfumo wa umeme wa Uume kufanya kazi yake vizuri kama mwili wako hauna Madini joto ya kutosha.
Ndio maana unashauriwa kupata au kula vyakula vitakavyo free up radicals, kukata mafuta ambayo hujaa kwenye mshipa huu wa umeme na Damu kushindwa Ku-Flow vizuri.
Jambo jingine kubwa na la maana zaidi ni Mwanamke kupunguza maswali mengi yanayo kinzana na mfumo huu wa Umeme na wa kihisia kwa Mwanaume.
Maswali ya Siku hizi Nyumbani pamekuwa polisi?.
Siku hizi haupo kama zamani umepunguza upendo.
Siku hizi tumekuwa hatuna umuhimu kwako.
Kuwa problem solver na Usiwe Questions makers
Kuwa problem solver na usiwe Problem creates
Ukiwa na maswali ya kusolve na kumaliza Migogoro Mwanaume huyu hatokaa awe adui yako milele hata awe na makandokando mengi aje.
Mfumo huu wa Umeme wa Mwanaume unahitaji Mwanamke mwenye uwezo wa kuelewa Contact of code ya mumewe ipoje.
Mwelewe Vizio vyake vya kuwasiliana huwa vinakuwaje ili usije kumvuruga fuata utaratibu wake.
Mfumo huu unahitaji Mwanamke aijue Lugha bora ya kuwasiliana na Mumewe anapoona anazembea ( Communion Skills ) awe nayo.
Naam hapa tunamaanisha ulimi wako uwe mwepesi na laini na uwe na uwezo wa kuchambua neno la kusema na la kuacha.
Mfumo huu hauhitaji kukurupushwa yaani Unahitaji ukweli na uhakika wa Malalamiko ya Mwanamke kwenda kwa Mwanaume ukicheza basi Mwanaume hupunguza hisia kwako na kumpa mwengine.
Ndomaana unafumania vimeseji vya Mapezi kwenye simu ya Mumeo na Anasifiwa amewafurahisha huku kwako wakati huwa unapambana kuifanya Isimame.
Mfumo huu kifupi unahitaji Amani ya Moyo ya Mwanaume ukitaka ashindwe Ku-Elect vizuri endelea kuwa na kamdomo na kumpa Stress mbona utaisoma.
Ili usimame na Uwe ngangari ukupe raha na Burudani ya Akili na Moyo wako basi Mpe chakula bora every single Day huyu Mbaba wako na hakikisha anakuwa huru kimawazo zile stress za yeye kujitakia huwa haziathiri mfumo huu.
Asalamalekhum
Bwana wetu Yesu Asifiweee
Hi Tuesday my follower