Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Ukosefu wa maarifa ndiyo unakufanya uendelee kuteseka na magonjwa.

Jirani yangu kanikuta usiku huu naosha hizi mbegu kwa ajali ya maandalizi ya dawa, akawa anashangaa, akisema yani wewe Dr kila kitu kwako ni dawa hadi mbegu za ukwaju nazo?πŸ˜†

Lakini kama watu wangejua siri kubwa ya mbegu za ukwaju, basi majumba yao yangejaa magunia ya mbegu za ukwaju.

Kongosho yako haizalishi insulini, kila siku wewe ni kumeza vidonge vya insulin, Ini lako halifanyi kazi vizuri, unateseka na maumivu ya meno, unateseka na HIV β€”Mbegu za ukwaju ni suluhisho bora kabisa.

Mdharau asili hufa kikatili
 
MMEA WA MNYONYO NATIBA ZAKE..

Ufanisi wa Majani ya mnyonyo (Castor plant leaves ) kama Dawa ya Asili ya Maumivu:

Kwa nini Majani ya mnyonyo (Castor plant leaves) Hufanya Kazi Kupunguza Maumivu?

Majani ya castor yana madini ya kuzuia uchochezi ambayo husaidia kupunguza uvimbe na kupunguza maumivu.

Mmea huu una asidi ya ricinoleic, ambayo hupenya ndani ya ngozi, kuimarisha mzunguko wa damu na kutenda kama analgesic ya asili.

Hii inafanya mmea huu kuwa bora kwa hali kama vile ugonjwa wa baridi yabisi, maumivu ya mgongo, maumivu ya goti, na kuvimba kwa jumla kwa mwili na maumivu.

Jinsi ya kutumia Majani ya Castor kwa Maumivu:

Maandalizi:

Osha majani mabichi ya castor vizuri.

Pasha kwenye joto la moto (usiyachome kwenye moto) ,Pasha kwa kutumia mvuke au sufuria ya moto (pasha bila kuwaka) kikubwa yapate joto.

Waweza anza kwa kupaka mafuta ya mnyonyo (japo siyo lazima) kwenye eneo lililoathiriwa kwa ufanisi zaidi.

Dawa hii hufanya kazi kwa kuweka majani yenye joto la moto moja kwa moja kwenye eneo la uchungu na maumivu. Funika majani kwa kitambaa laini au bandeji ili kuruhusu dawa ifanye kazi.

Tumia mara 2 hadi 3 kwa siku dawa hii.

Wakati ukiendelea na tiba hiyo ..tengeneza chai ya majani ya mnyonyo chemsha kwa dakika 15-20 kisha kunywa kikombe kimoja mara mbili kwa siku kila siku.

Kwa magonjwa sugu kama vile arthritis, matumizi ya kila siku ya dawa hii kwa wiki kadhaa kunaweza kutoa matokeo bora.

Matumizi ya dawa hii yatakuepusha na balaa la matumizi ya vidonge .

Asili huponya
 
Mimi mtaalam mwenzako wa mitishamba nakuelewa sana
 
Kwahiyo hizi mbegu tunameza? Inabidi kutafuta daftari tuandike kabisa summary, asante.
 
Kesho hii dawa naifanyia kazi nafungua la dispensary kadogo sebuleni kwangu.
 
Genital warts ,masundosundo,malengelenge
Haya changieni sadaka niwasogezee mimea ya kuua na kumalizana na tatizo hili.

Changia chochote kuwezesha huduma hii nayoitoa bure kwa ukurasa huu.

+255745535963 VODACOM

21810006152
(NMB BANK)

Majina : DAVIS MATENYULA

Asili Huponya
 
KUREJESHA MVUTO

Utachukua ng'e (aliyekaushwa na kusagwa) kilemba cha jogoo πŸ“ yani kile kidude chekundu au comb kilichosagwa (upatikane unga wake).

Utavitia katika mafuta ya mnyonyo kisha tumia kujifukiza na kujipakaa mwili mzima utafurahi inatia mvuto sana hii.

Iliyoandaliwa ipo
tshelf 65000/
 
🚨 Tafuna Karafuu 1 au 2 au 3 Kila Siku kwa kunywa maji yani kuzitafuna na kunywa maji haphapona .. kumeza kila kitu!

Faida hizi πŸ‘‡

β–  Hubadilisha tatizo la kuwahi kufika kwa waliooa (Erectile dysfunction) ndani ya Siku 14-21

β–  Hupunguza Kisukari na Shinikizo la damu ndani ya Siku 28

β–  Hurahisisha utungaji mimba kwa wanawake
β–  Huzuia na Kutibu Maambukizi Mengi

β–  Hutibu halitosis yaani tatizo la harufu mbaya mdomoni

β–  Hutibu Meno 🦷

β–  Tatizo la Kuoza meno pia

β–  Hutibu tatizo la kuvimbiwa

β–  Tatizo la kukosa hamu ta chakula

β–  Ni dawa nzuri kwa mapafu 🫁

β–  Huimarisha kinga bora na

.. Vitunguu saumu pia ni mbadala mwingine tuliwahi semea hili

Asili Huponya
 
Kama mtoto wako anakohoa sana wakati wakati wa usiku, na anapata shida ya kupumua, basi fanya hivi:-

Chukua majani machanga ya mkaratusi (eucalyptus) na majani ya kivumbasi (holy basil)

Chemsha kwenye maji
Tumia kumfukiza kwa dakika mbili hadi tatu
Mnywesha vijiko viwili vya huo mchemsho
Kisha muogeshe kwa hayo maji.
Mfanyie hivyo asubuhi na usiku kwa siku 7

Mtoto wako hatakohoa tena, afya ya mapafu yake itaimarika, hatasumbuliwa na pneumonia wala asthma.

Mdharau asili hufa kikatili
 
Mwee jamani
 
Period inapoanza tu
Anza chai yake
Ilikoma acha.

Kitana mwenzako

Unaweza okota mimba.

Mmea ni mzalia nyuma au phylanthus niruri.

Asili huponya
 
Prickly Lettuce katika historia

Wanahistoria pia waligundua kuwa Kaisari Augustus, Kaisari wa kwanza wa Roma aliyeishi kuanzia mwaka 53 KK hadi 14 BK, alidai kuwa alitumia mchanganyiko wa Prickly lettuce kupona kutokana na ugonjwa mkali, na akaamuru sanamu pamoja na madhabahu kujengwa kwa heshima ya mmea huo.

Mwaka 1898, Prickly lettuce iliingizwa rasmi kwenye kitabu cha dawa cha Marekani (United States Pharmacopoeia). Iliorodheshwa kama mmea wa kutumiwa katika syrup, lozenges (vidonge vya kutafuna), na tincture (dondoo za pombe) kusaidia usingizi na kupunguza maumivu ya koo na matatizo ya kifua.

Katika historia, wataalamu wa tiba asili wametumia mmea huu kutibu maumivu, matatizo ya figo, kuungua na jua, kifaduro kikuu (whooping cough), maumivu ya hedhi na matatizo mengine, pamoja na kama dawa ya kutuliza na kuongeza kukojoa.

Mdharau asili hufa kikatili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…