Mimeota Beyonce amegombana na Jay Z

Mimeota Beyonce amegombana na Jay Z

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Si Leo nimeota Beyonce kagombana na jayze kisa Mimi chochote kitu 🤣

Karuka ukuta Zaid ule wa mererani kuja kwenye geto langu.

kaniahidi music anaacha kwa ajili yangu aje tukalime korosho tandahimba kwetu

i love my Beyonce Niko tayar kupigania penzi letu juu ya utani wowote utakaotokea katikati
 
Me leo nimeota ney wa mitego YUKO pembeni yangu anaimba nyimbo ya kuabudu nikajigubika na shuka sikuamin[emoji16][emoji16][emoji16]sitanii ni kweli
 
Man mi nimeota napiga story na hitler kuhusu sadam Hussein story zilipokolea sana mwamba iddi amin Dada huyu hapa[emoji23][emoji41]
Kuna kilema tumemkata kichwa tumekiweka kwenye friji
 
Man mi nimeota napiga story na hitler kuhusu sadam Hussein story zilipokolea sana mwamba iddi amin Dada huyu hapa[emoji23][emoji41]
Kuna kilema tumemkata kichwa tumekiweka kwenye friji
Kweli tafuta hela uache kuota ndoto za marehem[emoji1787]
 
Si Leo nimeota Beyonce kagombana na jayze kisa Mimi chochote kitu [emoji1787]

Karuka ukuta Zaid ule wa mererani kuja kwenye geto langu.

kaniahidi music anaacha kwa ajili yangu aje tukalime korosho tandahimba kwetu

i love my Beyonce Niko tayar kupigania penzi letu juu ya utani wowote utakaotokea katikati
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu kama unafanya puri kwa kiwango cha juu punguza kama sio kuacha.
 
Back
Top Bottom