Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Baada ya ku sort issue na Y na kumueleza ukweli kuhusu X,ilimuuma sana na baadaye akaahidi kunisamehe,as days goes on nikaona sijitendei haki ya kuwa na Multiple relations,nikaaamua kuwa muwazi kwa mara ya pili,nikamwambia Y kuwa naona tuwe apart,itasaidia sana though mwanzoni tutaumia mioyoni,akanikubalia nami nikajikita zaidi kwa X,nikenda hadi front kwa wazazi wa X na kutoa mahari na taratibu zote,tumeshatangaza ndoa navikao vimeshaanza, jaman Y anakuja na style ambzo itabidi niombe ushauri wenu ili kuweza kuimaliza hii issue smoothly, last week usiku ka ni calll,ilikuwa ni usiku wa Birthday yangu,nilijisia tofauti sana coz ali call even before sijaongea na X,nikamshukuru kwa kuwa mtu wa kwanza kusema happay bday to me,kesho yake akani txt,pia akaniulizia Sabuni ninayotumiaga kuoga nanunuliaga wapi na huwaga nanunua rejareja au jumla,nikamjibu jinsi ninavyoipataga,Suprise jion ya siku yangu ya kuzaliwa,naingia Gheto,nakuta Magift kibao,including ile Sabuni yangu mezani (Kuna msela nakaa nae ambaye wanafahamiana sana na Y,hope ndo aliwezesha hili).
Ushauri jaman coz na fill guilty hata ku open hizi gifts,bado nimeziweka kabatini mwangu.
Salaam
Ushauri jaman coz na fill guilty hata ku open hizi gifts,bado nimeziweka kabatini mwangu.
Salaam