Mimi B,X na Y :Part3

Mimi B,X na Y :Part3

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
Baada ya ku sort issue na Y na kumueleza ukweli kuhusu X,ilimuuma sana na baadaye akaahidi kunisamehe,as days goes on nikaona sijitendei haki ya kuwa na Multiple relations,nikaaamua kuwa muwazi kwa mara ya pili,nikamwambia Y kuwa naona tuwe apart,itasaidia sana though mwanzoni tutaumia mioyoni,akanikubalia nami nikajikita zaidi kwa X,nikenda hadi front kwa wazazi wa X na kutoa mahari na taratibu zote,tumeshatangaza ndoa navikao vimeshaanza, jaman Y anakuja na style ambzo itabidi niombe ushauri wenu ili kuweza kuimaliza hii issue smoothly, last week usiku ka ni calll,ilikuwa ni usiku wa Birthday yangu,nilijisia tofauti sana coz ali call even before sijaongea na X,nikamshukuru kwa kuwa mtu wa kwanza kusema happay bday to me,kesho yake akani txt,pia akaniulizia Sabuni ninayotumiaga kuoga nanunuliaga wapi na huwaga nanunua rejareja au jumla,nikamjibu jinsi ninavyoipataga,Suprise jion ya siku yangu ya kuzaliwa,naingia Gheto,nakuta Magift kibao,including ile Sabuni yangu mezani (Kuna msela nakaa nae ambaye wanafahamiana sana na Y,hope ndo aliwezesha hili).
Ushauri jaman coz na fill guilty hata ku open hizi gifts,bado nimeziweka kabatini mwangu.

Salaam
 
Si kakuletea kama rafiki tu mshkaji wangu? Fanya umshukuru kama rafiki pia. Ila jua kuwa kakukopesha jiandae kulipa deni.
 
Mkuu ondoa hofu....zawadi anaweza kupewa mtu yeyote sio lazima wawe wapenzi, kwa vile mlitengana kwa maridhiano ya pande zote mbili na hakuna mwenye chuki na mwenzake. zawadi hazina shida taabu ni pale atakapokuja na issue ingine ya mahusiano. pia kuwa makini kwani anaweze kuwa amejipanga kukuharibia kwa X ili wakose wote na wewe ubaki njia panda. Pokea zawadi huku ukiendelea kusoma alama za nyakati. ukiona anavuka mipaka mpe onyo.
 
mbombo ngafu.
Mtangulize Mungu nawe utafanikiwa kwenye mahusiano yako
 
Tusubiri part 4 ya hii tamthilia au ndio imeishia hapa?
 
Y amekaa kirafiki zaidi na rafiki anaruhusiwa kukuletea zawadi pia. endelea na X wako tu
 
Back
Top Bottom