Mimi ni mhasibu mama ni mchumi! muda wa kurudi home ni saa 4:30pm kwa wote. Huwa nipo tayari kumasaidia ila sema anapokuwepo housegirl nashindwa kumsaidia. ila napenda kumsaidia
NN, hutaki hausi gelo sababu ya lifestyle ya huko
chakula cha supamarket almost kimetayarishwa vizuri wewe ni kwenda kumalizia tu
hapa siku nakula kuku nina kazi ya kumkimbiza, nimchinje, nimnyonyoe na kumpika
huko mna maharage ya kopo, mie nina masaa 3 ya kusubiri maharage yaive kwenye mkaa
huko mna dishwasher hapa nika kazi ya kusugua sufuria kwa mchanga wa bahari
mna washing mashine, nina kazi ya kufua, na kuanika nisubiri zikauke
maji na umeme 24/7 hapa maji yakitoka hatulali tunajaza hadi vijiko.
Siku nyingine zote ni ya kuchota kisimani au bomba la kijiji
umeme ungekuwepo ningechemsha maharage ya wiki nzima lakini siwezi andaa vitu na kutegemea kutunza kwenye friji sababu umeme sio wa uhakika
hata hivyo familia ngapi zinauwezo wa kumiliki friji?
Huko unasafisha nyumba labda mara moja kwa wiki, hakuna vumbi lakini huku kudeki ndani kila siku is a must, kufuta madirisha na vitu vyote ndani vinginevyo utakuwa kama unakaa chini kwa vumbi
haya una watoto wadogo, huko mnapeleka day care centre, kwanza day care ni chache, ni gharama kubwa mtanzania wa kawaida hawezi kuaford hata kama inawezekana kuaford bado hazina usalama kwa watoto wadogo sana
bado uende kazini na trafiki jam kama uko dar, sure you need someont to help you somewhere
lifestyle ni tofauti na mazingira ni tofauti.

Lakini na mwanamume si anapafomu? Tena nguvu inayotumia kwa bao 1 ni sawa na kutembea km 7! Fikiria atakapo piga bao 3 na zaidi....
umemaliza yote mpendwa mpaka mtima wange umeshemelelwa
maelezo yako mkuu ninaona hayajakamilika , umuhimu wa house girl unategemea na familia yako ilivyo. kama mkeo anafanya kazi basi ni muhimu kuwa na msaidizi, kama hafanyi kazi-yaani anashinda hme tu na hakuna watoto wadogo sana zaidi ya mmoja unaweza kusemna hahitajiki.Tangu nifunge ndoa na mke wangu, yeye amekuwa akisisitiza kuwa na house girl, kila anayekuja anakuwa na vituko vya jabu, na wa mwisho ambaye tumemfukuza jana alikuwa eti ana majini tukisali na kulitaja jina la yesu anasumbuka, eti akawa anaomba tusisali na tukienda church tumuache. Sasa mimi nimemueleza wife tutafute mtu wa kuja kwa kutwa ila yeye eti anasisitiza mpaka mtu wa kuishi naye, unajua namshangaa, na ndiyo utamaduni wa wanawake woote sijui, mambo eti housgirl, housegirl, wanawake mtakoma lini?
Mimi ni mhasibu mama ni mchumi! muda wa kurudi home ni saa 4:30pm kwa wote. Huwa nipo tayari kumasaidia ila sema anapokuwepo housegirl nashindwa kumsaidia. ila napenda kumsaidia
2. kwa kutumia sala na maombi utapata house girl mzuri, omba Mungu, uwe mvumilivu utampata siku moja. usimlaumu tu mkeo
kwaheri
Hapana. Sitaki hausigeli kwa sababu ninajua niko resourceful. I can do it by myself.
This is a canard! Kuna vyakula vingi tu ambavyo havijatayarishwa na ambavyo ukivinunua unatengeneza mlo wako from scratch. Ushaishi majuu wewe au unafuata tu kile usimuliwacho?
Not entirely true. Mimi mbona nikiendaga magengeni wananichinjia na kuninyonyolea? Acha ku paint picha isiyo entirely true.
Ndiyo maana nimeuliza kama ushawahi kuishi majuu. Hata maharage ambayo hayajapikwa yapo na yapo mengi tu. Ni uamuzi wa mnunuzi na mlaji.
Kuwa na dishwasher hakukuzii kuosha vyombo kwa mikono. Na tena kama hujui, kuosha kwa mikono ni economical zaidi. Naanza kushawishika hujawahi kuishi majuu wewe.
Kwa hiyo?
Heheheheee poleni. Lakini sioni cha kushindwa kufanya mwenyewe hapo. Ukishindwa we mvivu au unajiona matawi ya juu.
Hapo ndo resourcefulness inapokuja. Kama kweli shida huleta maarifa basi utaumiza kichwa chako na kubuni njia na mbinu za kukabiliana na hiyo adha. Lakini kama ukitaka mteremeko basi utaajiri hausigeli. I feel very sorry for them.
Sijafanya sensa!
Hapa umeongeza chumvi, binzari, hoho, na nazi!
Nami ni Mtanzania. Nimezaliwa na kukulia Tanzania. Nakumbuka kabisa kazini kwa wazazi wangu wote wawili kulikuwa na daycare centers. Ukikuna kichwa hakuna linaloshindikana. Kama enzi hizo kulikuwa na daycare centers huko makazini kwa nini sasa ishindikane? Ni ugoigoi wa kufikiri tu huo.
Majuu hakuna traffic jams?
I'm still not convinced. Try again.
Kama hamna watoto mnaweza ishi bila.Yani hata huyo wa kuja anakua sio wa kila siku bali mara chache ndani ya wiki kuwasaidia kufanya usafi labda na kufua.Chakula na vyombo vyenu mnashughulikia wenyewe.