Umesharahisishiwa. Vigezo hakuna kwahiyo chukua mke tena anakufaa. Huyu ukimuoa atakushukuru sana maana ndoa ameisumbukia na anajua uchungu wake. Hata ukimkosea atajikuta yeye ndiye anakuomba msamaha ili usimuache.Ungechagua jina zuri kama Cute K, Beautiful K, nk. tungekuja pm kwa kasi sana! Sasa umeamua kujiita Kibebeo! Jina halivutii kabisa mabaharia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa...at that age utapata.......kuna wagane wengi watakuja huko.....ila hao uliosema 34-45......wengi watakuwa wananunua gazeti la leo ILA jioni ---LISHASOMWA SANA........
Mimi bint4 natafuta mwenza aliye serious.. Tuyajenge maisha
Sifa zangu
Umri miaka 34
Elimu kidato cha
Sina mtoto
Sifa za nimtafutae
Awe na miaka 34-45
Muelewa mwenye hofu ya MUNGU awe mkristo mwenye shuguli yakumuingizia kipato, aliye tayali na maisha ya ndoa.
Kama unasifa izo njoo pm tuzungumze
Hahahaa. Mkuu hapa ndio kwa kumuelewesha sasa binti anaishia miaka mingapi na kwa hiyo miaka aliyo nayo ajiite vipi?Miaka 34 bado unajiita binti !!!!
Jaribuni kuheshimu marika ya watu.
Hahahaa. Mkuu hapa ndio kwa kumuelewesha sasa binti anaishia miaka mingapi na kwa hiyo miaka aliyo nayo ajiite vipi?
Sababu kama kakosea huenda hajui nini maana ya binti.