Maganua meakipizo
Member
- Oct 20, 2019
- 9
- 15
Mimi nipo tayari umri wangu 35 kazi yangu kufyatua matofaliMimi bint4 natafuta mwenza aliye serious.. Tuyajenge maisha
Sifa zangu
Umri miaka 34
Elimu kidato cha
Sina mtoto
Sifa za nimtafutae
Awe na miaka 34-45
Muelewa mwenye hofu ya MUNGU awe mkristo mwenye shuguli yakumuingizia kipato, aliye tayali na maisha ya ndoa.
Kama unasifa izo njoo pm tuzungumze