Ila watajaaa PM.....shauri yakohahahahaha au nitupie kama naingia library, tehe tehe tehe.
Mimi ni miongoni mwa waliowahi kukuuliza swali hili tangu mwaka jana, nakumbuka nilikufuata mpaka PM kukuuliza.Wana JF kuna post moja nilichangia, lakini nimestuka kuona members wengi wanahoji kama mimi ni jinsi gani!
Ili kupunguza maswali MIE NI MWANAMKE
Ahsanteni
watu wanatafuta pesa, hakuna mwenye time ya kuingia pm hahahahahahaahaha, michongo ni pesa sio mahusianoIla watajaaa PM.....shauri yako
hahahahahah asigwa hahahahahahahMimi ni miongoni mwa waliowahi kukuuliza swali hili tangu mwaka jana, nakumbuka nilikufuata mpaka PM kukuuliza.
Angalau eo umetegua kitendawili aiseee.
nemo judex in cause sua nikamwambia niliisoma kwenye administrative law hahahaha,sikulijua hili siku ile tunajibu kwenye uzi flani nilijua wewe ni me, safi sana kwa kuwa muwazi
Aisee angalau leo umefunguka aiseeee.hahahahahah asigwa hahahahahahah
hhahahah nimeona wengi wananiuliza hahahaha na sijui kwanini walipata utata na jinsi yangu! mie nina comment kawaida kama mwanamke sasa nashangaa watu wakawa wanajiuliza kuhusu maumbile yangu, ahahahah JF bwana panaleta raha sanaAisee angalau leo umefunguka aiseeee.
Katika maisha yangu sijawaghi kuchepuka na mpare...hahahahaha yaani wengi wameingia inbox kuniuliza ndio maana nimeona bora niweke tu uzi hapa kwenye jukwaa la utambulisho: mie ni mwanamke wa KIPARE wa bila kuchakachua
Katika maisha yangu sijawaghi kuchepuka na mpare...
Naona ibilisi kasikia kilio changu...
Unajua wanawake wengi wanashinda majukwaa ya MMU na Celebrity tu, huwezi kuwakuta majukwaa mengine.hhahahah nimeona wengi wananiuliza hahahaha na sijui kwanini walipata utata na jinsi yangu! mie nina comment kawaida kama mwanamke sasa nashangaa watu wakawa wanajiuliza kuhusu maumbile yangu, ahahahah JF bwana panaleta raha sana
Yaani Elli unasema niweke na jinsi yangu hapa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yaani niipige picha hahahahahahahahaaahHhahhahahhhahaaa siamini hadi uweke picha yako hapa na ya jinsi yako, vyote kwa pamoja aisee
Kicheko hicho kimenipa matumaini... shetani na ashukuriwe.hahahahahhah (bold) hahahahah😀😀
najutaWana JF kuna post moja nilichangia, lakini nimestuka kuona members wengi wanahoji kama mimi ni jinsi gani!
Ili kupunguza maswali MIE NI MWANAMKE
Ahsanteni
hahhhaah asigwa mbavu zangu mieee. Siku ukija Mwanza tutafutane bwana tukae hata pale Hotpot si karibu na kwenu au kwa Komba hahahahaUnajua wanawake wengi wanashinda majukwaa ya MMU na Celebrity tu, huwezi kuwakuta majukwaa mengine.
Wewe huwa unajichanganya majukwaa yote, mpaka kwenye siasa huko ndio maana watu wanashindwa kukuelewa aisee.
wacha urohoKicheko hicho kimenipa matumaini... shetani na ashukuriwe.
nakusubiri PM tupange yetu
Naam, ila condition ni moja tu, uwe umefanya usafi kwanza ndio uweke "picha yake" na yakoYaani Elli unasema niweke na jinsi yangu hapa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yaani niipige picha hahahahahahahahaaah
Unafanya nini hapa? hebu rudi chumbani kule. Ebo!!wacha uroho
Kicheko hicho kimenipa matumaini... shetani na ashukuriwe.
nakusubiri PM tupange yetu