Mimi CHIKIRA MTABARI ni

Mimi CHIKIRA MTABARI ni

Wana JF kuna post moja nilichangia, lakini nimestuka kuona members wengi wanahoji kama mimi ni jinsi gani!

Ili kupunguza maswali MIE NI MWANAMKE

Ahsanteni
Mimi ni miongoni mwa waliowahi kukuuliza swali hili tangu mwaka jana, nakumbuka nilikufuata mpaka PM kukuuliza.

Angalau eo umetegua kitendawili aiseee.
 
sikulijua hili siku ile tunajibu kwenye uzi flani nilijua wewe ni me, safi sana kwa kuwa muwazi
 
sikulijua hili siku ile tunajibu kwenye uzi flani nilijua wewe ni me, safi sana kwa kuwa muwazi
nemo judex in cause sua nikamwambia niliisoma kwenye administrative law hahahaha,
 
Aisee angalau leo umefunguka aiseeee.
hhahahah nimeona wengi wananiuliza hahahaha na sijui kwanini walipata utata na jinsi yangu! mie nina comment kawaida kama mwanamke sasa nashangaa watu wakawa wanajiuliza kuhusu maumbile yangu, ahahahah JF bwana panaleta raha sana
 
Hhahhahahhhahaaa siamini hadi uweke picha yako hapa na ya jinsi yako, vyote kwa pamoja aisee
 
hahahahaha yaani wengi wameingia inbox kuniuliza ndio maana nimeona bora niweke tu uzi hapa kwenye jukwaa la utambulisho: mie ni mwanamke wa KIPARE wa bila kuchakachua
Katika maisha yangu sijawaghi kuchepuka na mpare...

Naona ibilisi kasikia kilio changu...
 
hhahahah nimeona wengi wananiuliza hahahaha na sijui kwanini walipata utata na jinsi yangu! mie nina comment kawaida kama mwanamke sasa nashangaa watu wakawa wanajiuliza kuhusu maumbile yangu, ahahahah JF bwana panaleta raha sana
Unajua wanawake wengi wanashinda majukwaa ya MMU na Celebrity tu, huwezi kuwakuta majukwaa mengine.

Wewe huwa unajichanganya majukwaa yote, mpaka kwenye siasa huko ndio maana watu wanashindwa kukuelewa aisee.
 
Hhahhahahhhahaaa siamini hadi uweke picha yako hapa na ya jinsi yako, vyote kwa pamoja aisee
Yaani Elli unasema niweke na jinsi yangu hapa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yaani niipige picha hahahahahahahahaaah
 
Unajua wanawake wengi wanashinda majukwaa ya MMU na Celebrity tu, huwezi kuwakuta majukwaa mengine.

Wewe huwa unajichanganya majukwaa yote, mpaka kwenye siasa huko ndio maana watu wanashindwa kukuelewa aisee.
hahhhaah asigwa mbavu zangu mieee. Siku ukija Mwanza tutafutane bwana tukae hata pale Hotpot si karibu na kwenu au kwa Komba hahahaha
 
Kicheko hicho kimenipa matumaini... shetani na ashukuriwe.

nakusubiri PM tupange yetu

Unanichekesha Asprin, usifanye nicheke sana hadi mwishowe Ngosha atamua kutuzimia data wakati wa kazi nchi nzima hahahah
 
Back
Top Bottom