Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
teh teh teh kwa Komba pale kama unaelekea Kona ya Bwiru aiseee.hahhhaah asigwa mbavu zangu mieee. Siku ukija Mwanza tutafutane bwana tukae hata pale Hotpot si karibu na kwenu au kwa Komba hahahaha
haahahahhhhahahah hutaki kama za Bob Marley!Naam, ila condition ni moja tu, uwe umefanya usafi kwanza ndio uweke "picha yake" na yako
Ila siku hizi pamepooza sio kama zamanit
teh teh teh kwa Komba pale kama unaelekea Kona ya Bwiru aiseee.
Kama ni mtumiaji mzuri wa kitimoto nafikiri nitaweka oda ya kilo 3 kabisa.
Ole wako usindwe kuzimaliza, utanilipa gharama zote.
Shemeji habari yako....hahahahaha yaani wengi wameingia inbox kuniuliza ndio maana nimeona bora niweke tu uzi hapa kwenye jukwaa la utambulisho: mie ni mwanamke wa KIPARE wa bila kuchakachua
Mwe! shemeji tena.... sawa ngoja niitikie nzuri, shikamoo shemejiShemeji habari yako....
Ahsante kulwa MGhongera kwa kuitetea jinsi yako!!
hahaha nakodoa macho kukulinda nisiibiwe nina wivu kupita maelezoUnafanya nini hapa? hebu rudi chumbani kule. Ebo!!
hahahahahh marymarymary kuna bajaji imeandikwa MKANYE MKEO HII BAJAJI SIO YANGU, sasa na mie nakwambia mkanye ASPRIN hahhahahahahahahhah.hahaha nakodoa macho kukulinda nisiibiwe nina wivu kupita maelezo
Mbona hujafika?? Usinikwaze mtoto wa mwanamke mwenzio, nna kiu mie.hahaha nakodoa macho kukulinda nisiibiwe nina wivu kupita maelezo
Hahahahahahaa kweli???haahahahhhhahahah hutaki kama za Bob Marley!
WALIOSHINDWA KUJUA WEWE MWANAMKE WATAKUWA WAGONJWA SIYO BUREhahahahaha yaani wengi wameingia inbox kuniuliza ndio maana nimeona bora niweke tu uzi hapa kwenye jukwaa la utambulisho: mie ni mwanamke wa KIPARE wa bila kuchakachua
hahahahahahah Eddy Love tehe tehe tehe, habari za leo lakini?WALIOSHINDWA KUJUA WEWE MWANAMKE WATAKUWA WAGONJWA SIYO BURE
Na kuna nyingine imeandikwa "MWAMBIE MKEO, AKISHUKA ASINISHIKE MABEGA" nami nakukanya achia mabega yangu, shauri zako.hahahahahh marymarymary kuna bajaji imeandikwa MKANYE MKEO HII BAJAJI SIO YANGU, sasa na mie nakwambia mkanye ASPRIN hahhahahahahahahhah.
Kheee.. labda post zako zimekaa ki - shamale ndo maana watu wakachanganyikiwahahahahaha yaani wengi wameingia inbox kuniuliza ndio maana nimeona bora niweke tu uzi hapa kwenye jukwaa la utambulisho: mie ni mwanamke wa KIPARE wa bila kuchakachua
Nitaleta posa Ndungu mnipokee mkuria mimi, mpole napiga mwanamke kwa doti ya kanga tu.....Mwe! shemeji tena.... sawa ngoja niitikie nzuri, shikamoo shemeji
hahahahahahahahahahahahaahahNa kuna nyingine imeandikwa "MWAMBIE MKEO, AKISHUKA ASINISHIKE MABEGA" nami nakukanya achia mabega yangu, shauri zako.
Hilo li Avatar lake ndo limeleta matatizo.... CHIKIRA MTABARI tafazali badili avatar yakoWALIOSHINDWA KUJUA WEWE MWANAMKE WATAKUWA WAGONJWA SIYO BURE
uwiiiii wakurya mwanamme anakuchapa halafu anajitetea eti NILIKUWA NAMNYOOSHA NYOOSHA hahahahahahNitaleta posa Ndungu mnipokee mkuria mimi, mpole napiga mwanamke kwa doti ya kanga tu.....
sawa, ushauri nimeupokea kwa mikono miwili nitaufanyia kazi soonHilo li Avatar lake ndo limeleta matatizo.... CHIKIRA MTABARI tafazali badili avatar yako