Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
t
Kama ni mtumiaji mzuri wa kitimoto nafikiri nitaweka oda ya kilo 3 kabisa.
Ole wako usindwe kuzimaliza, utanilipa gharama zote.
teh teh teh kwa Komba pale kama unaelekea Kona ya Bwiru aiseee.hahhhaah asigwa mbavu zangu mieee. Siku ukija Mwanza tutafutane bwana tukae hata pale Hotpot si karibu na kwenu au kwa Komba hahahaha
Kama ni mtumiaji mzuri wa kitimoto nafikiri nitaweka oda ya kilo 3 kabisa.
Ole wako usindwe kuzimaliza, utanilipa gharama zote.