Mimi CHIKIRA MTABARI ni

Mimi CHIKIRA MTABARI ni

duuh.
Wajumbe wengi wanatambua we nimwanaume naona sababu ya hiyo avatar imekaza
 
Kwahiyo wewe ni Mndele!

na Una Kishi?

What ze ! Namfahamu Mzee mmoja akiitwa Chikira
Pia Mshagila wote wanaume how come uitwe Hivyo? ungeanza na Miss Chikira ingekuwa poa sana... kama Janet Jackson huitwa Miss Jackson
 
Aliyeijaza PM naye ana kasoro kuubwa sana. Nkiamka asubuhi nkakukuta chumbani mwangu hata yowe haitoki bali nazimia na utakuwa mwisho wangu kumtongoza mwanamke.
 
Aliyeijaza PM naye ana kasoro kuubwa sana. Nkiamka asubuhi nkakukuta chumbani mwangu hata yowe haitoki bali nazimia na utakuwa mwisho wangu kumtongoza mwanamke.
Hawakunitongoza bali walikuwa wanauliza jinsi yangu! siku hizi watu hawaendekezi kutongoza! wanajishughulisha kutafuta pesa!
 
Back
Top Bottom