Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
Swalama kabisaa sijakutembelea kwako siku nyingi toka kipindi kilehahahahahahah Eddy Love tehe tehe tehe, habari za leo lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swalama kabisaa sijakutembelea kwako siku nyingi toka kipindi kilehahahahahahah Eddy Love tehe tehe tehe, habari za leo lakini?
Zikizidi dakika tano, sitacheza tena na wewe.sawa, ushauri nimeupokea kwa mikono miwili nitaufanyia kazi soon
kweli, karibu sanaSwalama kabisaa sijakutembelea kwako siku nyingi toka kipindi kile
ukisusa wenzio wala! hahahaZikizidi dakika tano, sitacheza tena na wewe.
Mimi ntakuwa namnyoosha kwa mabusu motomoto tuuwiiiii wakurya mwanamme anakuchapa halafu anajitetea eti NILIKUWA NAMNYOOSHA NYOOSHA hahahahahah
muraaa, tata, hahahaaaahMimi ntakuwa namnyoosha kwa mabusu motomoto tu
asante sana mumy! ntakaribiakweli, karibu sana
Waache wao wale, mi ntameza.ukisusa wenzio wala! hahaha
Ili iweje?!Huyu ni mwanaume ameamua kuzingua hapa.
Mwambie aweke kwenye kumbukumbu zake kabisa... huyu marymarymary amekuwa rasmi mali yangu binafsi siku ya tarehe ya Samwel Sitta.
ha ha aandike mlikutana siku ya msibaniMwambie aweke kwenye kumbukumbu zake kabisa... huyu marymarymary amekuwa rasmi mali yangu binafsi siku ya tarehe ya Samwel Sitta.
Msiba wa spika wa bunge la katiba hewaha ha aandike mlikutana siku ya msibani
Picha hiyo hapoThibitisha uyasemayo mkuu