IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Siyo mkopo sema nae alikuwa saund nyingi wakati huo huo ananipunusa tu .Mmmh ulikopa?? maana itakuwa bonge la usongo
akikaa mwaka sijui itakuaje 😂😂Yaani huyu demmis mwezi anaona mwingi!wenziwe tunakaa mpk mwaka hatuumwi!
Sent using Jamii Forums mobile app
We siwezi halaf tupo pamoja makao makuu
nahic tabia nimezishindwa,soon nitamrudisha kwako[emoji23][emoji23][emoji23]sijui kama wifi anataarifa ya hii kitu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huyu siku hizi anazidi kuaribikiwa jaman
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Waah[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Demiss msikie huyu kijana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] khaaa hii ndoa imekufa kuanzia dakika hii,huu niudhalilishaji uliopitilizaUtaamini tu utakavyoomba poo ndotoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tena umwambie shemeji afanye kazi haswa haswa,atembee uchi mwaka mzima kama adhabu