Mimi Dereva nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu

Mimi Dereva nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu

Mtumishi Anyi

Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
31
Reaction score
18
Wakuu habari za kazi, Naomba msaada wenu wa kupata kazi ya udereva, mtu yeyote mwenye conection anisaidie, nilisomea veta leseni yangu ina madalaja A B D E, pia nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu kama cv yangu inovyo onesha, naendesha magari madogo, na truck.
Call/WhatsApp, 0766428475
Natanguliza shukrani🙏
 
Attachments

Ungerudi darasani kuongeza wigo mpana wa ajira mfano kama una nafasi ukisoma PSV au VIP unakuwa pahala pazuri

Kozi zote hizo mbili zinatolewa na NIT pamoja na VETA.

Na uhakika ukipata cheti kimoja wapo kati ya hivi utakuwa sehemu salama,binafsi napendekeza ungesoma VIP.
 
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom