stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Nichek 0743 257 669Uje arusha sasa
kwahiyo huyu fundi aliyenipaulia nyumba ya vyumba sita na makorokoro yake kwa laki 8 kumbe ni bure kabisa aise Mungu ambariki yule fundi popote alipoHabari naombeni kazi mabosi zangu
Nyumba ya vyumba ya vyumba 3 vya kulala napaua kwa lak 8 tu
Namba zangu hizi 0743 257 669
Nipo banana ukonga
inatokana upo mkoa gani, au hali ya kiuchumi ya fundi wako kwa wakati huo na sababu zingine nisizojua. KWAANA hiyo bei duuuh.!kwahiyo huyu fundi aliyenipaulia nyumba ya vyumba sita na makorokoro yake kwa laki 8 kumbe ni bure kabisa aise Mungu ambariki yule fundi popote alipo
inatokana upo mkoa gani, au hali ya kiuchumi ya fundi wako kwa wakati huo na sababu zingine nisizojua. KWAANA hiyo bei duuuh.!hakika