Mimi fundi wa Kupaua, nyumba ya vyumba 3 napaua kwa TSh. Laki 8 bei ya ufundi

Mimi fundi wa Kupaua, nyumba ya vyumba 3 napaua kwa TSh. Laki 8 bei ya ufundi

kumbe bei ndo hizo huyu aliniambia 1.5M aseee bora sijaanza kazi hahahha nilitaka kupigwa
 
Sisi wa mikoan tunajua hizo ndo bei wa dar wamezoea kuambiwa 2.5m
 
Unaenda mikoani? Nataka kujaribu kuezua nyumba ya zamani niweke Paa jipya.
 
inatokana upo mkoa gani, au hali ya kiuchumi ya fundi wako kwa wakati huo na sababu zingine nisizojua. KWAANA hiyo bei duuuh.!
Bei yako ni kubwa sana , kesho nitapiga picha zangu nikuwekee hapa wamenipaulia kwa laki 4 chumba sebule choo na jiko unit 2 zilizoungana nimezijenga kwa ajili ya kupangisha .
Dar es Salaam wilaya ya ubungo
 
Mungu aibariki kazi ya mikono yako
 
Ww unapaua kwa laki8 wakati wenzako huku mikoani wanapaua kwa laki2 na mtindo hyohyo inapendeza!!
Ndo ushasema mikoani ndugu

Ukiwa na 4M tu unajenga nyumba nzima nilishangaa sanaa nilivoambiwa hivi
 
Bei yako ni kubwa sana , kesho nitapiga picha zangu nikuwekee hapa wamenipaulia kwa laki 4 chumba sebule choo na jiko unit 2 zilizoungana nimezijenga kwa ajili ya kupangisha .
Dar es Salaam wilaya ya ubungo
mafundi hawana bei maalumu, hata hivyo hii haitufanyi tusishangae pale tunaopoona fundi akifanya kazi kubwa kwa bei ndogo,hasa kwa dar . Soma post no.15
 
Back
Top Bottom