Ww unapaua kwa laki8 wakati wenzako huku mikoani wanapaua kwa laki2 na mtindo hyohyo inapendeza!!
Hata mikoan nakujaUnaenda mikoani? Nataka kujaribu kuezua nyumba ya zamani niweke Paa jipya.
Umekariri vibaya. Biashara ni matangazo.Fundi mzuri hajitangazi kwenye social media
sehemu gani hapo broWw unapaua kwa laki8 wakati wenzako huku mikoani wanapaua kwa laki2 na mtindo hyohyo inapendeza!!
mkuu upo dar?kumbe bei ndo hizo huyu aliniambia 1.5M aseee bora sijaanza kazi hahahha nilitaka kupigwa
Kanda ya ziwa.sehemu gani hapo bro
Bei yako ni kubwa sana , kesho nitapiga picha zangu nikuwekee hapa wamenipaulia kwa laki 4 chumba sebule choo na jiko unit 2 zilizoungana nimezijenga kwa ajili ya kupangisha .inatokana upo mkoa gani, au hali ya kiuchumi ya fundi wako kwa wakati huo na sababu zingine nisizojua. KWAANA hiyo bei duuuh.!
Kwa makondamkuu upo dar?
Weka picha ya design ya paa unazowezea👿Habari naombeni kazi mabosi zangu
Nyumba ya vyumba ya vyumba 3 vya kulala napaua kwa lak 8 tu
Namba zangu hizi 0743 257 669
Nipo banana ukonga
Ndo ushasema mikoani nduguWw unapaua kwa laki8 wakati wenzako huku mikoani wanapaua kwa laki2 na mtindo hyohyo inapendeza!!
mafundi hawana bei maalumu, hata hivyo hii haitufanyi tusishangae pale tunaopoona fundi akifanya kazi kubwa kwa bei ndogo,hasa kwa dar . Soma post no.15Bei yako ni kubwa sana , kesho nitapiga picha zangu nikuwekee hapa wamenipaulia kwa laki 4 chumba sebule choo na jiko unit 2 zilizoungana nimezijenga kwa ajili ya kupangisha .
Dar es Salaam wilaya ya ubungo