Mimi humu jamvini nachokoza maksud nitukanwe tuanze ligi yani ndio furaha yangu ila wadau wameanza kuniipuuza

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuka,

Yani furaha yangu humu nikimchokoza mtu kwa kureply comment yake akajibu kwa jazba yani nafurahi hadi narukaruka yani na infilict pain flan hivi na kuwawini kisaikolojia hasa kwa hawa reject wa Lumumba.

Ila niko selektiv sana kuna watu humu hata kama unamsimamo na mawazo tofauti kuna mipaka kama akina @midale ya midimu Bowie RRONDO

Sasa hawa ma agemate akina Mbao za Mawe jingalao ISIS UCD MSAGA SUMU tang'ana Mudawote Magonjwa Mtambuka johnthebaptist thetallest MSAGA SUMU et al.

Mbao za Mawe tulianza naye ligi nilimchokonoa kidogo tu akaja kwa jazba yani nilifurahi kweli alivyokuwa ananitukana. Ila akaja kushtuka akawa ananipuuza hadi nikawa nambeg bro rudi basi kwenye ligi.

Kuna siku nilimchokonoa dada ISIS aka wallahi hadi akawa analia na kuporomosha matusi ya hatariii wala hata siku ripoti kwa mods halaf akaja kunipuuza yani nilimaindi kichiz.

tang'ana tulianza ligi nilikuwa namfuata hadi kwenye inbox pm dogo alifurumusha matusi yani nilifurahi hadi kurukaruka jamaa badaye kashtuka kanipuuza kila wakati najaribu kumrudisha kwenye ligianachomoa.

johnthebaptist thetallest @Etegwe wameshanishtukizia hawanitukani licha ya jitihada nyingi sana za kuwachokonoa.

UCD hadi alikuwa ananichimba mkwara yeye Tiss atanifuata hadi Denmark.

MSAGA SUMU nilimchokonoaga ila dogo ni easy going wala amaindi.

britanicca naye nimejaribu kumweka kwenye ligi naye pia anaignore kiaina.

Barbarosa yani hataki hata

Nilitaka kumkosea MAHORO heshima nikashtuka faster huyu jamaa ni wakuheshimiwa baada ya kuchunguza posti zake.

Magonjwa Mtambuka hili jamaa gumu sana ulitukane usilitukane lenyewe halijali.

GENTAMYCINE kitambo ananikwepa tuu

Sasa wote wananipuuza tu yani sina raha kabisa.
 
Mzuka,
Yani furaha yangu humu nikimchokoza mtu kwa kureply comment yake akajibu kwa jazba yani nafurahi hadi narukaruka yani na infilict pain flan hivi na kuwawini kisaikolojia hasa kwa hawa reject wa Lumumba.
Kama unatafuta mtu wa kumtoa mapovu, nenda kwa haka kajamaa Nyani Ngabu ukareply post yake kwa maudhui tofauti na ya kwake, yaani povu linamtoka hadi keyboard inalowa
 
inatokeaga...kuna wakati huo ugonjwa huwa unanitokeaga...

'yaani najikuta namchokonoa yeyote anayejaa 18 zangu....Hasa hasa Gentamycine...japo sasa kakua: amekuwa anapuuziaga tu.!!

Ukianza ku rap..mie raha na stress zinapungua kwangu;na zinahamia kwako
 
Duuh! Mbona naona hao uliotaka nao ligi karibia wote wana akili timamu. Ungewafuata wale wakina naniliu mbona wasingekukawizaaa. Yaani ungeshakuja na Account mpya na ukawa mpooole. Hahahahaaaaaa.

Ila kiukweli Mkuu kazi ulikuwepo nayo. Pia nisije nikasahau kuuliza Mkuu kwani ukimchokoza mtu kuna kitu / faida unapata au ndio bure buree?
 
we fala mbona mi hujawahi kunichokoza hata mi napenda mchezo kama wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…